Mwanakijiji, nilimtafuta Robot tokea 25th February lakini naona bado hajajibu. Pia nilimtumia mail before that week, lakini hakuijibu. Kwani wewe unafahamu kwanini imetolewa?
Ungesoma vizuri kwanza kabla ya kujibu - niliuliza since Feb, na nimekaa muda mrefu nikisubiri jibu. Hichi sio kitu kama kuomba tender inabidi usubiri muda mrefu, ni swala la kutufahamisha kwanini imetolewa.
Lets hope wameiona hii thread na wataijibu. Ile kitu ilikuwa safi sana hasa kama mtu uko abroad mbali na nyumbani, inasaidia kukumbushia mambo ya nyumbani