[emoji817] sana mkuuMkuu tafuta movie ya Slither ni nomaa inatisha hatare
Umeicheki THE NUN ww si ndo utalala na taaWapenzi wa movie tu hapa,
Kwenye library yako umepanga kucheki movie gani siku ya leo ,
Kiukweli binafsi leo kuna movie flani hivi ya horror inaitwa Conjuring ipo 1&2 naona wadau wameiongelea sana tangu Asubuhi ndio nimetoka kuitafuta library niicheki usiku wa leo ,
Wewe je unacheki movie gani siku ya leo?.
Lucky Logan huwa nairudi rudia sana kuangaliaNairudia LOGAN.
Mkuu umenichungulia nini?nimetoka kucheki game ya ARSENAL vs LIVERPOOL saiv naunga MILE 22,ninayo zaidi ya wiki mbili ila sijaicheki,leo mzuka umekuja tu,maana hata kesho nikiamka saa 6 mchana poa tu.Mile 22
Nimeichiki mida ya SAA 12 along side Na Deadpool 2Nairudia LOGAN.
HUGH JACKMAN anazingua kinoma,nimeipenda ile scene ya mwisho dogo anaugeuza cross kuwa x.Nimeichiki mida ya SAA 12 along side Na Deadpool 2