Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,197 Reaction score 11,628 Feb 8, 2011 #1 Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA
Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,500 Feb 8, 2011 #2 KURUNZI said: Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA Click to expand... Pole member! Basi ungetaja aina ya handset unayoitumia! Labda kimeo? Samahani kama utanielewa vibaya sijakusudia kukunyanyapaa! Mod usini BAN. Nimetumia lugha rahisi ili nieleweke!
KURUNZI said: Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA Click to expand... Pole member! Basi ungetaja aina ya handset unayoitumia! Labda kimeo? Samahani kama utanielewa vibaya sijakusudia kukunyanyapaa! Mod usini BAN. Nimetumia lugha rahisi ili nieleweke!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Feb 8, 2011 #3 KURUNZI said: Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA Click to expand... Itakuwa tatizo la simu yako, mbona mimi ipo??
KURUNZI said: Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA Click to expand... Itakuwa tatizo la simu yako, mbona mimi ipo??
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,197 Reaction score 11,628 Feb 8, 2011 Thread starter #4 Hamna mbaya mkuu si unajua tena uchumi na maisha yamepanda ni sony ericson T700 NITASHUKURU KWA MSAADA
Hamna mbaya mkuu si unajua tena uchumi na maisha yamepanda ni sony ericson T700 NITASHUKURU KWA MSAADA
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 319 Feb 9, 2011 #5 Nafikiri simu yako inauwezo mdogo kufungua JF ambayo watu wengi wanafungua kwa wakati mmoja na JF ni kubwa
Nafikiri simu yako inauwezo mdogo kufungua JF ambayo watu wengi wanafungua kwa wakati mmoja na JF ni kubwa