Muda unaendelea kuwadia wa kumpata JF Miss Chit-chat 2012.
1. Wadau wote mnaombwa kwa moyo wa dhati kuendelea kupiga kura...
2. Mimi kama meneja wa kampeni naendelea kuandaa hotuba ya ushindi wa
charminglady, maana hadi sasa tunaongoza kwa tofauti kubwa.