habari wana Jf,
kwa mtizamo wangu tu,ningependa mashabiki wa Yanga ambao ni Jf members siku ambayo tutangaza kutwaa uchampion wa ligi kuu ningeomba tuandae sehemu maalumu tukutane hapo ili tufurahi kwa pamoja na tufahamiane pia,mm binasfi ningependa sana tukutane pale Taifa nje ya uwanja siku ya mechi kati ya Simba na Yanga
Sasa mambo yakiwa 5 Star kutakuwa na kikao kweli hapo mtani?
5 stars za wapi tena?
mkuu Mphamvu bila shaka uko usingizini wewe,unaifahamu Simba wewe au unaisoma kwenye magazeti tu,kwanza kabla ya hiyo mechi tutakuwa tumeshatangaza ubingwa mda mrefu sana,sisi lengo letu ni kusheherekea ubingwa
Sasa mambo yakiwa 5 Star kutakuwa na kikao kweli hapo mtani?
Inshaallah, napendekeza tukutane 'Simba Kapakatwa Pub'.
no sio makuti pub
ngoma tutakutana Tabata Italiano pub au O-year pub,hapo pia kuna warembo kibao kazi kwako tu
Haya popote pale tutakuja kuwaunga mkono.
Hahahaah! Mkuu vipi, wewe hutawaunga mkono?teheteheteheteheteheteeeeeehhhh
Hahahaah! Mkuu vipi, wewe hutawaunga mkono?
utawafanya waongee bure...
kitahamia mtandaoni kutokea makuti pub..
Sasa mambo yakiwa 5 Star kutakuwa na kikao kweli hapo mtani?