JF member of 2012!

zoezi linaendelea vizuri wadau,majina nayakusanya kadiri ya mnavyopendekeza !
 
Father of all,Lara ,kongosho .i will contact you this week for my contribution thanks
 
Mbona mie naku-appreciate sana..japo sikubaliani na mawazo yako yaliyo mengi ila napenda unavojiamini,ucheshi,usharp na inteligence...
 
he he he, Nataly pamoja sana

King'asti ujue mie holiday hii mnshapata tiketi ya Manhattan

Father of all,Lara ,kongosho .i will contact you this week for my contribution thanks
 
Last edited by a moderator:
unaongelea post au thread?
na tutaamini vipi umetumwa na Invisible, ikiwa kumention jina lake umeshindwa!!

halafu huyo mwana JF wa mwaka iweje aje kutafutwa huku MMU....???

huo ushindi wa watu 20 ni wa namna gani?
na nizawadi gani zitatolewa?

Maswali muhimu hayo mkuu yakipata majibu ntarudi
 
M.k.w.e.r.e kumbe kijf ni tusi sikujua ilo duh
 
Kwanza fabinyo simuamini sipendekezi mtu mpaka Invisible aje hapa kudhibitisha
hili
 
Last edited by a moderator:

My vote goes to ASHADII............without a doubt! She has touched and changed lives of so many of us. She is by far one of the best JF members.
May the creator continue to bless you (AshaDii) and your family.
May the creator continue to overflow your cup with wisdom and blessings. May He always guide you in paths of righteousness. May He prepare a table before you in the presence of your enemies.
Go AshaDii!
 

thanx bro!noted
 
The boss, Mtambuzi, Lara 1, King'asti, Mbuzi Mzee, Zion Daughter, Preta. Wengine nitachek b4 end year!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…