I love mathematics
Mkuu labda niulize, una msingi mzuri wa hesabu?
Ruttashobolwa,
Idea yako ni nzur mkuu, but changamoto iliyopo ni kwamba platform hii haisupport features nyingi za ki-mathematics, na hata kama mtu akiamua kutumia math symbols zilizoko kwenye keyboard ya simu yake ataishia kuandika just those common ones,
otherwise unge-state the targetted group la kushiriki katika maada za humu, i.e. either O-level, A-level, Chuo kikuu n.k.
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.