JF ladies talk talk …...

JF ladies talk talk …...

Dah ubize sometime mbaya kweli!!!

FL1 asante mama kwa kutupa sehemu ya kushea maurembo na umbea kidogo....japo naona kina kaka nao wamevamia utadhani sketi wanavaa!!!

Well mimi napenda sana jeans..legging na jeggings tight nikitupia na top au shati oversize kidogo na jimkanda kwa juu basi naridhika!!
Zamani nlikua namaind vimini ilasiku hizi magauni na sketi za marinda marinda ndo napenda...hapo na wedges nimemaliza!!
Viatu kwanzia heels...flats...raba siku najiskia kutoka kimtaani mtaani..
Nywele napenda sana nikiwa na afro sema wakati mwingine nashawishika kuweka dawa...na kusuka rasta napenda sana!!
Pochi sipendi kiviiiiiile japo sikosi begani.....ila kwa miwani huniwezi maana napenda kupitiliza!!
Make up...wanja, lipgloss na bronzing powder kidogo!!
Accesories kofia yani sana...mpaka bushori zile kama tuvyoziita huku Ungalii navaa...then hereni na bangili naona nimeanza kuvaa sana lately!

Ngoja nirudi bize alafu baadae nije kumalizia kusoma mashosti wengine mwapenda nini!!

naona wewe unaenda sambamba na fashion
itabidi tuonane bana ...tuanzishe chama cha kina mama / dada JF
 
View attachment 28748View attachment 28749View attachment 28750View attachment 28751
pencil.png

A very nice topic.
Binafsi kutokana na nature ya kazi j3 hadi ijumaa ni full suti iwe sketi au surali ila napendelea sana suti za suruali.
Nikiwa home kikaptula/pensi na kitop au kigauni simpo cha kitenge,
wikiendi jinzi na tishet au kiblauzi,
Napenda vitenge na batiki lakini sio zenye mashamsham huwa nashona vigauni simpo au kaptula,
Napenda sana handbags za designers,
Shoes it depends na juu nimevaa nini,
nywele ni fupi natural,pia napendelae kusuka rasta,
manukato sio mpenzi wa vitu vyenye harufu kali so natumia spray na deodorant za johnsons and johnsons,
sio mpenzi wa make-ups.
kifupi niko simpo.

Naona Kina dada JF tuko Juuu no mkorogo no vidonge vya kujichubua

iko njema sana.
Wapi Mj1?
 
Tupo juu kinoma na zaidi tunajitambua. Kwakweli mkorogo sifagilii I am black and i love my skin colour it is my identity. Kwanza mwanamke anayejichubua huwa naona kama hana confidence and she don't know what she wants.
Naona Kina dada JF tuko Juuu no mkorogo no vidonge vya kujichubua

iko njema sana.
Wapi Mj1?
 
A very nice topic.
Binafsi kutokana na nature ya kazi j3 hadi ijumaa ni full suti iwe sketi au surali ila napendelea sana suti za suruali.
Nikiwa home kikaptula/pensi na kitop au kigauni simpo cha kitenge,
wikiendi jinzi na tishet au kiblauzi,
Napenda vitenge na batiki lakini sio zenye mashamsham huwa nashona vigauni simpo au kaptula,
Napenda sana handbags za designers,
Shoes it depends na juu nimevaa nini,
nywele ni fupi natural,pia napendelae kusuka rasta,
manukato sio mpenzi wa vitu vyenye harufu kali so natumia spray na deodorant za johnsons and johnsons,
sio mpenzi wa make-ups.
kifupi niko simpo.

Mmmh! Thats so nice jamani . . .

Daisy nimeku-PM . . . .

Jamani naomba msianze unoko wenu . . . haaaa haaa
 
Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!

Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea

FL1 kama ni hivyo basi nakufahamu, kama vile nimewahi kukuona mitaaa ya mjini kati vile . . . kama vipi vipi weka picha yako au jielezee ulivyo kisha nitajua. lakini huyo mdada anafit description uliyotoa ya mavazi nk perfectly . . .

Duh!
 
Mmmh! Thats so nice jamani . . .

Daisy nimeku-PM . . . .

Jamani naomba msianze unoko wenu . . . haaaa haaa
Napita tu Superman:car::car:

FL1 kama ni hivyo basi nakufahamu, kama vile nimewahi kukuona mitaaa ya mjini kati vile . . . kama vipi vipi weka picha yako au jielezee ulivyo kisha nitajua. lakini huyo mdada anafit description uliyotoa ya mavazi nk perfectly . . .

Duh!
Si ulisema umemfananisha lol
 
FL1 kama ni hivyo basi nakufahamu, kama vile nimewahi kukuona mitaaa ya mjini kati vile . . . kama vipi vipi weka picha yako au jielezee ulivyo kisha nitajua. lakini huyo mdada anafit description uliyotoa ya mavazi nk perfectly . . .

Duh!

Dah labda ndio mie tulipishana wapi vile kariakoo or ?
 
Mhhhh chama kitakua na madhumuni gani vile mama wa kwanza??
Ile miwani ya Christian Dior niliyokutumia ulipata???
Na vile viatu vya Jimmy Choo ulipata???
Na lile gauni la Alexander McQueen ulilipata????
 
wow! so nice F-lady. aaam mi napenda kunyoa samting like kisura, I like mini skirts,pedo, vigaun vifupi plus high heels na vipochi. Cpendi kujipodoa sana natumia poda na lipshiner tu. Pia napenda kuvaa heleni zenye ukubwa wa kutosha tu, bila kusahau top dress na leggin aa sana tu. Hope kwenye list nipo.
 
Back
Top Bottom