Wapi Lizzy?
Lizzy ndiye mwali kwenye k'party so haruhusiwi kuongea, yeye ni kusikiliza tu na kujib NDIYO.
Mmmh so far so good. Mpaka sasa Michelle na Belinda wako juu. Wameelezea kwa utondoti jinsi walivyo au jinsi wanavyopenda kujiweka. Safi sana.
Mzalendo Kaizer are you taking note?
TF hapo kwenye duka lako umenikumbusha kitu muhimu sana. i never walk out of my door bila kua na sunglasses. I feel incomplete without them.
hata kama hakuna jua,, eeh Graca?
YAP Kaizer,lazima itakua kwenye handbag.
sasa hapa walau tuko ukurasa mmoja...nilidhani waivaa 24/7 duh
Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!
Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea
WOS..
MJ1
Nyamayao
Preta
Regia Mtema (GS)
Cheusimangala
BHT
Pear
Carmel
Ziondoughter
Michelle
Afrodenzi
Hellen .P
Diana Doube Diff
Miss Judith
Maria Roza
Remmy
Suzy
Firstlady
Da Mie
Shost
Asha D
Maty
LD
JS
Lizzy
Sweetlady
Wiselady
Dena Amsi
Gaga
Da Pretty
Husninyo
Pauline
Miss kelly
Nazjaz
Mama Brian
Catheleen
Shantel
Kakajambazi
Murefu
Egypswomen
Digna37
King'asti
Daughter
Caroline Danzi
RussianRouletteBelinda Jacob
...
bado naendelea
Ohoo asante sna FL napendelea zaidi kuvaa very simple and comfotable mengine nitarudi baadae
dahhh FL1 leo umenikamatisha mmhh
nway nikiwa nyumbani mara nyingi niko kwenye short shorts na vest ....
in general napenda skinny jins na tops...
kama naenda out i prefer minskert, low cut tops lakini napenda zaidi mini dress...
nikienda kumsalimia bibi kanga mbili hahaha lol
vipodozi sipaki ( ila kama naenda out make up ntaweka )
personal mi niko rough sana kwa kazi nifanyayo mara nyingi niko kwenye jins
au shorts.. (depends with the weather) Nywele mmhhh nasuka au nabana Afro langu
huwa na relax every now and then but i cant be bother most of time..
nina style ya ki tomboy ... ( im into sports ndo maana napenda shorts zangu na track pants.. lol)
( nina addiction mbaya sana ya perfume na viatu )
AD utakayemwona Clubin sio sawa na AD utakaye mwona uwanjani,kazini au nyumbani ...
the END...
Mavazi ofisini napenda kupiga vigauni vyangu very simple,
nikiwa home vigauni pia au tops na shorts au tights.
nikitoka kitaa jeans tight,tops,vigauni (duh! napenda gauni kumbe!)
Sijawahi kupenda skirt nahisi hazinikai vizuri kwente hiki ki figure!
Kidigo suti kanisani au mara chache ofisini.
Nywele napenda sana rasta,juzi kati nikazikata nisokote dreads.
Siwezi kuvaa wig mwenzeni naona yananikera!
Natumia light cosmetics, rangi yangu naipenda....
Make ups ni wanja na lipshine nimemaliza labda kama naenda kwenye vipati fulani ndio nahangaika na make up maana sina utaalam nazo.
Sijawahi kusahau handbag yangu i Like it.
Sipend perfume kali....
Nlisahau kiatu, vyote navaa inategemea nakua wapi na mood yangu nataka nini.
lol hii mada imenivutia let me share some thing with u nice ladies.. kwa upande wangu napenda kuvaa nguo ndefu i mean kama sketi basi ndefu mara nyingine navaa hata baibui(hijabu), viatu simple shoes, nywele mara nyingi napenda kusuka rasta wivingi na wigi sio mzuka kwangu, napenda saana vidani kuanzia pete ya kidole hadi ya mguu, handbag ndogondogo sio mikubwa km ya safari tena sio zile za kuweka begani napenda za kushika mkononi ama kubana kwapani.. kwa upande wa cosmetic, napaka mafuta ya rinju, pamoja na alovera jelly, pafyum adorable spray. rangi yangu kubwa ya mavazi ni pinki... ni hayo tu kuhusu mimi
Firstlady1 asante sana kwa hii list itanisaidia kupata mchumba humu lolLove you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!
Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea
WOS..
MJ1
Nyamayao
Preta
Regia Mtema (GS)
Cheusimangala
BHT
Pear
Carmel
Ziondoughter
Michelle
Afrodenzi
Hellen .P
Diana Doube Diff
Miss Judith
Maria Roza
Remmy
Suzy
Firstlady
Da Mie
Shost
Asha D
Maty
LD
JS
Lizzy
Sweetlady
Wiselady
Dena Amsi
Gaga
Da Pretty
Husninyo
Pauline
Miss kelly
Nazjaz
Mama Brian
Catheleen
Shantel
Murefu
Egypswomen
Digna37
King'asti
Daughter
Caroline Danzi
RussianRoulette
Belinda Jacob
Graca
Roselyne1
Rose1980
...
bado naendelea
Hivi au basi tu ngoja nikuache kwanzajamani wakati hii inarushwa sijui nilikuwa nazurura wapi
Mi napenda chupi bikini alywaz yani maboxer labda yale ya wakati uleeeeee wa angani tu,n apenda nguo fupi coz mguu upo na hata usingekuwepo utanenepa lini?officin suit or nguo fupi lkn yenye heshima,mtaani jeans,tshirt,tops,kaptula,jinsi skit fupi,simple sandoz,high hills,mapochi na ma urembo kwa sana,perfume must,saa nop,shanga nop,cheni miguuni,kiunoni,kitovuni leo yatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nywele natural coz usinga unanisaidia,make up kawaida si mapouuuuuder kama mwali wa kimakonde,mafuta ya nywele amla ni kama ya nazi but yameboreshwa,mafuta mwilini baby care (pure mafuta mgando no lotion at all)
Japo msosi hujasema but let me ongeza here,ni ugali,dagaa,tembele,ndim sana no pilipili,no pombe,no soda juice kwa wingi maji mmmmh its an issue.
Nyeupe, nyekundu, pink, bluu, damu ya mzee, rangi ya ugoro au rangi ya simenti?jamani wakati hii inarushwa sijui nilikuwa nazurura wapi
Mi napenda chupi bikini alywaz yani maboxer labda yale ya wakati uleeeeee wa angani tu,n apenda nguo fupi coz mguu upo na hata usingekuwepo utanenepa lini?officin suit or nguo fupi lkn yenye heshima,mtaani jeans,tshirt,tops,kaptula,jinsi skit fupi,simple sandoz,high hills,mapochi na ma urembo kwa sana,perfume must,saa nop,shanga nop,cheni miguuni,kiunoni,kitovuni leo yatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nywele natural coz usinga unanisaidia,make up kawaida si mapouuuuuder kama mwali wa kimakonde,mafuta ya nywele amla ni kama ya nazi but yameboreshwa,mafuta mwilini baby care (pure mafuta mgando no lotion at all)
Japo msosi hujasema but let me ongeza here,ni ugali,dagaa,tembele,ndim sana no pilipili,no pombe,no soda juice kwa wingi maji mmmmh its an issue.
jamani wakati hii inarushwa sijui nilikuwa nazurura wapi

Nyeupe, nyekundu, pink, bluu, damu ya mzee, rangi ya ugoro au rangi ya simenti?
Pearl my dear unaniapaga raha sana, hapo kwenye u leg umenimaliza mackini, nimecheka mpaka bac....hahahaha yaani wewe hapana aisee....
Ndio nakutaka wewe, Nakutafuta wewe ujue, niwatoe wapi wakati wewe umenikimbiaeeeeh unanitaka nn lkn ww?huku unatafuta nn kwani?nivae chupi nyekundu?kisa cha kupigwa na radi?kitu white zo na nyeusi pia but mara mbili kwa wiki,pink yap bluu nop am not a boy,wat else do u wanna knw?seems huna wadada wa kucheza nao kidali pooo eeeeeh?