Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!
Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea
WOS..
MJ1
Nyamayao
Preta
Regia Mtema (GS)
Cheusimangala
BHT
Pear
Carmel
Ziondoughter
Michelle
Afrodenzi
Hellen .P
Diana Doube Diff
Miss Judith
Maria Roza
Remmy
Suzy
Firstlady
Da Mie
Shost
Asha D
Maty
LD
JS
Lizzy
Sweetlady
Wiselady
Dena Amsi
Gaga
Da Pretty
Husninyo
Pauline
Miss kelly
Nazjaz
Mama Brian
Catheleen
Shantel
Murefu
Egypswomen
Digna37
King'asti
Daughter
Caroline Danzi
RussianRoulette
...
bado naendelea
Thread nzuri sana hii. Hapa tunaweza pata hints za totoz za ukweli....
umeona eeh kiongozi....wasitupige mawe tu
Ndo ujue wadada wa Jf tuko juu, mungu katujalia Inshalla, why tutumie mkorogo??? Afu umeona wote tuko vry simple. Tupe hongera zetu basi.of all wachangiaji hakuna aliyekiri kutumia mkorogo? mmm!! (yawn! yawn! ....)
Husni waache waendelee kuchungulia nna viwembe vya kutosha hapa!We nyani ngabu na kaizer tutawamwagia tindikali.
Ndo ujue wadada wa Jf tuko juu, mungu katujalia Inshalla, why tutumie mkorogo??? Afu umeona wote tuko vry simple. Tupe hongera zetu basi.
wanna join yaa honey....Upo Firstlady ni hivi,
Nguo:napendelea kuvaa kuendana na umbo langu pia kutokana na occasion. Mf. nikiwa beach basi lazima niwe na vazi la ufukweni mana napenda sana kuogelea.Kazini kikazi zaidi.. Kwenye sherehe kadhalika vazi rasmi la mtoko kuangaliana na mazingira ya hiyo sherehe yani kama na washkaji au wazee wetu..Pia nashona vitenge kadhaa na hakika natafutaga rangi/muundo wa mshono unaoendana nami..Sipendi kuvaa nguo oversize au imenibana wee mpaka nashindwa kuhema/kukaa..
Viatu:napenda flat, sneakers na hata high-heels inategemea navaa kwenda wapi au nimevaa nini..
Nywele: huwa napenda kuzitengeneza saluni yani ku-relax na kuzipasi zinyooke mara nyingine nabana stlye mbalimbali ila sijawahi kuvaa weaving na kusuka ni mara chache sana...
Make-ups: kwakweli hii idara naona bado sijaiwezea..mafuta ya nivea au baby johnson ndiyo napaka sanasana naongezea powder. laa, lip-shiner/glow huwa siachi kupaka kwenye lips.
Handbags: naona hapa ndio kwenyewe, nina rangi mbalimbali ambazo namechisha na viatu tu..yani handbags nazobeba lazima ziendane na viatu kwa rangi..
Accesories: Saa muhimu mkononi, bracelets na kidani shingoni kutokana na nilichovaa..mkanda pia kama niko nguo yenye kuhitaji basi haikosekani..
wewe wapendelea kuvaa vinmini au vitop?Wapi Lizzy?
Mi napendelea kuvaa trousers na najickia huru sana kuliko nikivaa skirt/gauni ,japo skirt na gauni pia navaa but i prefer the short ones. I like high heels but due to the nature of my job basi most of the tym i wear simple shoes.
Napenda relaxed hair na kusuka rasta. I usually wear light make ups and i love perfumes( my favs are absolutely irresistible by givenchy na flower by kenzo). Lotion nnayoipenda ni vaseline cocoa butter.
We nyani ngabu na kaizer tutawamwagia tindikali.