JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.
Penye wanawake watupu bila hata dume moja hakuna descpline. Tualikeni na sisi wachumba wenu ebo?
 
Wapendwa......kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.........imelazimika kusogeza muda wa hafla yetu hii.....ili kuweza kupata/kuwapa nafasi wana JF watakaopenda kwenda Mwanza kufanya maandalizi mazuri.......ikitegemewa kuwa mwezi December ni mwezi wenye matumizi mengi ya pesa........Hivyo basi, ningependa kuchukua fursa hii kuwataka radhi wale wote nitakaokuwa nimewakwaza kwa namna moja au nyingine.....na pia ikumbukwe kuwa.....jukumu la kuandaa safari ya Mwanza ni mimi mimi pia muhusika mkuu wa kuhakikisha logistics zipo sawa..........

Naamini mtakuwa mmenielewa na ninaomba tukutane tena mwezi February....(January imekaa vibaya).......ili tuweze kufanikisha azma yetu...

Wenu katika hili

Preta........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…