Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,793
ila angalia kwenye mada kunasemaje kuhusu wanaume hamruhusiwi hapa
mawazo swadakta ladyfurahia........na ningeomba basi uwepo ili tuweze kufaidika na upande huo wa ujasiriamali.......
Mimi niwakaribishe hotelini kwetu Penguin Resort Hotel,Sakina.Huku nawahakikishia hakuna MWANAUME kuzungumza hata mkiamua kusasambua ni juu yenu.Kuna wenzenu toka Dar walikuja kufanya training ya mambo ya chumbani ilikuwa poa sana,ukihitaji more info nicheki penguinhotelarusha@yahoo.com au tembelea tovuti www.penguinhotelarusha.com Karibuni JF ladies.!
Uko juu.​ila kusahau Mimi ni single- naomba unipigie promo huko
Preta mi nataka kuja kufanya presentation moja matata tu na natumai itawasaidia sana.Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....
Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......
MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........
Asanteni.......
Mimi niwakaribishe hotelini kwetu Penguin Resort Hotel,Sakina.Huku nawahakikishia hakuna MWANAUME kuzungumza hata mkiamua kusasambua ni juu yenu.Kuna wenzenu toka Dar walikuja kufanya training ya mambo ya chumbani ilikuwa poa sana,ukihitaji more info nicheki penguinhotelarusha@yahoo.com au tembelea tovuti www.penguinhotelarusha.com Karibuni JF ladies.!
Nadhani hapo ulimaanisha "DARAJANI"Nendeni dukani kwa mromboo ama daraja mbili kuna madhari mazuri sana yenye utulivu wa kutosha kwa nyie kujadili na kupata kubadili mawazo, mkitoka hapo muende Snake park ama kwenye maporomoko ya maji kule Oligilai.
Wazo tu!
ladyfurahiaushauri wangu ni huu:
1. Ni vyema mkajikusanya na kujenga familia ya wanawake wa jf pamoja huko arusha na kuangalia uwezekano wa kusaidiana kwa wale ambao bado hawajafikia hatua ya azma zao.
2. Kubuni mbinu za kibiashara na kutafuta masoko nje ya arusha au nje ya Tanzania kiujumla.
3. Kusaidia kama kuna mmoja wenu hana cha kujishughulisha nyie mnamsaidia kwa kumwezesha mtaji wa kuanzia biashara yake atakayoweza kuifanya.
4. Kufungua saccos yenu ndogo ambayo itawawezesha kupata miikopo kwa wanachama wenu na kuweka akiba mbeleni
5. kingine kununua hisa au kuwekeza katika hisa hii nayo inalipa sana na inakufanya usiwe mwoga kwenye wimbi la biashara
6. Kuwaona wataalamu/ washauri wa mambo ya kibiashara ili wawape somo la biashara au semina ya biashara (mm mwenyewe naweza kuja kuwaelimisha kuhusu mambo ya biashara na ujasiriamali)
7. Kujua changamoto na mbinu za kukabiliana nazo wakati mnafungua biashara yenu au shughuli yoyote ile
8. Kuwaona wafadhili au nyie wenyewe kujifadhilisha ili kuinua kikundi chenu na kuleta maendeleo na sio kuwangoja akina baba wawasaidie au wawape fedha za matumizi, changamkeni kwani WANAWAKE TUNAWEZA.
9. Kuwasaidia wasichana wenye matatizo ya kifamilia au wale masikini kuwasomesha kwenye kikundi chenu mpaka na wao wafikie malengo kama yenu.
10. Kuwainua wasioojiweza hususani wamama watu wazima au wazee katika kuwapa mbinu za kijisiariamali na wao wakawa wanajiishughulisha mfano halisi ni KILIMO KWANZA kinalipa sana na hata nyie wenyewe mkianzisha shamba la hekari 10 - 50 mkawa mnakodisha vijana wa kuwalimia na kupanda mazao nanyi mnafanya kazi ya umwagiliaji tu baada ya msimu mwingine mnashangaa mmepata mazao ya kutosha kwenye shamba lenu na mkasaidiana kwa kile kiasi mpatacho kwenye hayo mazao.
Yangu ni hayo tu bestito Preta nikiwa na maoni mengine nitayaweka hapa
ciao
ladyfurahia
Kuna wakati ulisema kuwa una mpango wa kugombea Ubunge wa Jimbo fulani huko kwenu mwaka 2015.
Kwa point hizo hapo juu UMENISHAWISHI, NA naanza kukukubali japokuwa wakati ule niliona kama ulikuwa na mizaha kidogo!
Nakufuatilia kwa ukaribu kuanzia sasa!
Mungu ni mwema.......atatujalia uzima........lakini hujatoa maoni ujue........
Wacha nitoe pendekezo.....kwa nini tusifanye tar 7 au 14 Dec.........?