JF Kwa Kipimo Hiki..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Kwa Kipimo Hiki.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hagg, Nov 16, 2011.

 1. h

  hagg Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni msomaji mzuri wa JF utagundua kwamba zaidi ya 95% ya waandikaji na wachangiaji hoja ni malalamiko ya kila idara ya taifa letu Tanzania. Hiki ni kipimo kizuri na cha awali kujua wananchi wa Tz wako katika hali gani. Mambo haya ni hatari kwa taifa na jamii kwa ujumla kwani yatakapo fikia kikomo yatakuwa nje ya uwezo wa serikali iliyopo madarakani kuyarekebisha. JK amelala usingizi lakini ajue moto unafukuta huku utapo fumuka asiseme hatukumwambia mapema. Pamoja na hayo tuwe wavumilivu, tujipange kisha tuchukue hatua, Kama viongozi waliojichagua wameshindwa tuachieni nchi yetu tutaanza moja mnang'ang'ania nini?
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  nchi hii demokrasia ni 0%
  mabavu ya polisi na ubabe100%
  tunaelekea wapi??
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  we ngoja tu!
   
Loading...