Jf kuna kabifu jinsia nimekaona

Jf kuna kabifu jinsia nimekaona

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
553
Reaction score
758
yani hazipiti siku mbili basi utaona uzi ukiwacharua wanaume na hata hapachukui mda utaona uzi ungine ukiwacharua wanawake mara ooh hakuna mwanaume Tanzania mara ooh jamani tukaoe ulaya naamini kama kungekuwa na oral debates basi tusingekuwa tunafikia hitimisho na sometimes najiuliza hivi je members hawa wa jf wangekuwa ni wanandoa sijui ingekuwa je? mada ziendelee kama kawa mimi mpenzi mtazamaji napendaga tu vituko vya kabifu jinsia it is over...!
 
Mkuu ulichokiona wala sio bifu ni rasharasha tu ya bifu, ila ukitaka kuona bifu la ukweli lipo kwa baadhi ya wanaume na ma single mother.

Maendeleo hayana chama
 
yani hazipiti siku mbili basi utaona uzi ukiwacharua wanaume na hata hapachukui mda utaona uzi ungine ukiwacharua wanawake mara ooh hakuna mwanaume Tanzania mara ooh jamani tukaoe ulaya naamini kama kungekuwa na oral debates basi tusingekuwa tunafikia hitimisho na sometimes najiuliza hivi je members hawa wa jf wangekuwa ni wanandoa sijui ingekuwa je? mada ziendelee kama kawa mimi mpenzi mtazamaji napendaga tu vituko vya kabifu jinsia it is over...!
ukiona hivyo ujue mtu kaliwa na amaeachwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom