Wakati tukijaribu kukikuza kiswahili chetu kwa kuongea na kuandika, na wakati kimataifa lugha rasmi ya Tanzania ni Kiingereza na Kiswahili, je, ipo haja ya kutumia lugha moja kati ya Kiingereza au Kishwahili kuliko kuchanganya changaya lugha (Kiswangilishi) kama hivi ambapvyo inaonekana katika maelekezo ya majukwaa hapo mbele??