Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,542
- 7,378
"Mr. Bean alinunua card nyingi za X-mass alivyofika home akaziingiza kwenye kipenyo cha mlango halafu alivyoingia akaona zile card nyingi chini, akaanza kufurahia kuona amekumbukwa na watu wengi."
:banplease::banplease:Yani hapa JF watu wanafungua multiple IDs, wanaanzisha sredi,wanajijibu wenyewe, wanajigongea wenyewe "like', wanaleta complain kwenye IDs zao multiples, wanacomment utumbo wenyewe, wanakandia sredi zao...basi ilmradi tu walete 'jam' kwenye forums. Hii haijawahi kutokea kwenye twitter wala facebook, ni JF pekee.
:humble::bump:
Mods nao wanatoa ban bila onyo wala taarifa yoyote basi ilmradi tu adhabu!!
HII NDIYO JF BANA!!