Ndechumia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,113
- 441
Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta).
kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma hardcopy.
tunaomba kazi tusikate tamaa, manake mie hizo zote ni tangia 2011, kabla ya hapo sina record.
Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.
asanteni sana.