jf imenitoa, shukrani

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,107
426
Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta).

kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma hardcopy.
tunaomba kazi tusikate tamaa, manake mie hizo zote ni tangia 2011, kabla ya hapo sina record.

Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.

asanteni sana.
 
Mkuu unaonekana uko meticulously detail oriented. Thanks for the statistics.

Ukiendelea hivyo, na nidhamu kazini, utafanya vizuri tu.

All the best.
 
stock-photo-congratulation-on-finding-a-new-job-in-this-labor-market-79431469.jpg
 
Mkuu unaonekana uko meticulously detail oriented. Thanks for the statistics.

Ukiendelea hivyo, na nidhamu kazini, utafanya vizuri tu.

All the best.
nashukuru sana mkuu, ilifika mahali mikawa lazima niweke kumbukumbu ya barua zangu kwenye comp, baada ya kuona nimeomba kaz nyingi sana.
hiz barua zilinisaidia as quick reference unapoitwa for intv.
ndo unajiuliza hiv niliomba nafas gan tena kwenye comp X?
 
Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta).

kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma hardcopy.
tunaomba kazi tusikate tamaa, manake mie hizo zote ni tangia 2011, kabla ya hapo sina record.

Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.

asanteni sana.

Mkuu hapo umenifurahisha mno, una appreciation so naomba nichukue nafasi hii kukutakia kila lililo lenye kheri kwenye ajira yako
 
Back
Top Bottom