JF imenipa Degree...thanks God


Hii nayo ni full-lecture.
Ahsante kwa ushauri .
 
Ni kwelii kabisa ukiwa JF na unafuatilia kwa makini sana na kutafakari kila jema na michango yote hasi na chanya unapata upeo mkubwa sana kwenye issue nyingi sana sana
 
Hongera saana Mkuu
Inatia moyo natamani na MALARIA SUGU angeji enroll hapa angekuwa mbioni kumalizia degree yake

MS hawezi elewa kitu hapa maana yeye hutafsiri habari za hapa JF kwenda kinyume chake, ameingia kwa malengo ya kuboma tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…