Jana ama juzi kulikuwa na mjadala hapa jf kuhusu yanayojiri UDOM wakati huu ama ambayo yalishatokea.
Nikiwa mjini Dodoma kawambwa (waziri wa Elimu) alipita nakuelekea UDOM mchana wa saa nane nakukutana na uongozi.
Nikajiuliza sana juu ya kilichomleta wakati huu ni kipi?
1. Je ni huu upendeleo wa ajira kwa waislamu ambao kimsingi inaonekana na hata waislamu walishatoa vcd yao ya Kongamano la pasaka iliyofanyika college of education nakuhusisha wanafunzi na baadhi ya wahadhiri wakiislamu waliopo hapa UDOM. Katika kile kinachoendelea hapo ni kuwa kwa ukweli wao wanadai UDOM imeanzishwa makusudi kukuza uislamu kwakuwa UDSM imetawaliwa na wakristo na imechangia sana kukuza ukristu tanzania. Wafanyakazi wengi hasa administrative staff wamekuwa wakiajiriwa karibu kila siku na hasa akina abdallah, alli, omari, ramadhani, amina, yusuph na wengineo. Na kabisa wanaweza kuwa wanatamani wakristo wote walioajiriwa hapo wafukuzwe kazi wote abaki wao kama ambavyo walijaribu kupitia uchaguzi wa serikali ya wanachuo kuweka wagombea wote wenye nguvu kuwa waislamu na kuweka weak christian waweze kukimiliki chuo kwakuwa misingi wameshajengewa.?
2. Je huu mtindo wakusajilia wanachuo uwanja wa jamhuri wakati majengo ya chuo yapo?
3. Na je ni maslahi ya wahadhiri wa chuo hicho?
Nawasilisha

Mjadala wa udini udom ni kwa manufaa ya nani? Nini idadi/uwiano wa Waislam na wakristo: wahadhiri, wanafunzi, wafanyakazi wasio walimu, viongozi? Wakristo mfanyakazi/mwanafunzi anaathirika vipi kwa wingi au kuongozwa na muislamu?
mkuu hapo umenena, takwimu zinaonyesha mwaka jana wanafunzi elfu 20 waislam ni elf 3, kwenye staff 10 waislam ni 3, udini utatumaliza wandugu.
Umetawaliwa na fikra za kidini. Mpuuzi mkubwa wewe!
kama hapa udsm kuna wakristo basi udom kukiwa na waislam shida iko wapi
alafu majina sio kigezo cha kuonyesha wewe ni muislam
achana fikra za udini.tujenge nchi