Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,768
heheeee kaoooge bwana wewe ustake haribu kijiwe hapa nyie ndo vifutundu tunaowasaka hapa jukwaan eti mtoto wa tanga waaaapiii my jg ndo anajua mi mtoto wawapi sasa wewe unaeish kwa historia imetafuna kwaako teeeena nakuonea huruma unajua coz hili suala my husband jg analifahamu na anajua kitu cha chitchat ndooo kabisaaa hapat hata sheli.my lovie upo wapi uje umsikie huyu anaejiita junior sijyi wakt mi nadili na senior
huyu mtoto anajiweza ndo mana anakiburi na pesa.. ata hivyo huyo fataki wake bado anamuhudumia.!!!Kama umegharamiwa hivo mtoto wa kiume jua kuwa kuna bili ya khatari inazaliwa kwa huyo binti. Na huenda ukienda safari hii ikawa ni mwisho kukanyaga Tanga.
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!
Eric b52 my shem analijua hilo kuwa mie sio watanga ashindwe jua my sweety hahaaaa refer kwenye winmbo mzee yusuph nakumbuka line chache tuu zunasema wapo waliotia hila penzi watuvurugie hawawez asilan asilan labda nife na wewe, labda nife niende kaburiniii au nife nimzike yeyee. Upo hapo lako hilo nina 50 zangu zanipeleka mbioo so braza kaka jg ndo mwenye kisu kikali ndo amekula nyama hiii pouleee
mtoto punguza maufundi umempa nini huyu shoeshine wa sinza maana hata kijiwe kafunga kumbe umemvundika ndani,hongera kwa kujipatia houseboy
Heheeeeeeeeeeeee ruhanzwe mbavu zangu haiyayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiii
At my glance!
Mamsap ,
Thanks for always understandin' and being there for me.
I love you so much, i could never hurt you ever my cute lv NastyBeibe!
Let me be yours forever, just kip with the tone of cuteness and love. Haka kajamaa hakajanipa!
hakanipi !
hakatonipa!
Any kind of hurt, because aidha his a comedian or his mentality some minor LOOSE CONNECTION occured !

Thought kamtu haka kanahitaji maombi zaidi , than medical treatments !.
Kanadhani Ng'ombe hunenepeshwa at the auction day!
Utamaliza malapa Judge ala firigisi taaaratiibu.
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!
Halijui hilo nahis atakua kakupata laazizi si unajua tena vijana wa sasahiv wanadhan watu wamepatanapatana tuu wewee achaa hii kitu aisee na hajui show zako unazopiga na kama mechi basi upo home na si away
mmm kumbe huwa unacheka kwa kujiachia hivyo,tafikiri umeshinda hunda i10,vip lakini houseboy anajua kupiga dek?maana aliwai kufanya kwa Madame B mmm ilikua vituko,alikua anaogea omo,
Haloooooo akaogeeMpenzi tuachane nae, hana weight ya kutupa homework, twen'zetu tukabadilishane finyango.
Haloooooo akaogee
Nsubirie hun na nilivokumiss uwiiii
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!