JF Houseparty

Mkuu unajaribu kuwaza nini?

hii haitakiwi nyie jichanganyeni tu mtekwe maana watajoin hadi watu wa kazi
 
comrade_kipepe hairisha hii party asilimia kubwa ya watu wa jf wote sura zao walichukua za baba zao sio wanaume sio wanawake kuna sura fulani unakata stimu profile hizi zina ficha mabomu
 
Vitu vya muhimu visikosekane
1. Unigold
2. Mabox ya Condom
3. Wese
 
comrade_kipepe hairisha hii party asilimia kubwa ya watu wa jf wote sura zao walichukua za baba zao sio wanaume sio wanawake kuna sura fulani unakata stimu profile hizi zina ficha mabomu
Sasa mrembo kupare na sura zetu vinaingilianaje? Hebu acha tukalegeze viungo bwanawe😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…