JF home sweet home

Binafsi naendelea kujifunza kuhusu maisha, wakati mwingi huwa nafikiria kuwa umri unavyozidi kusonga mbele kuna idadi ya fedha huwa namini kuwa haipaswi kukusumbua hata kama itakusumbua si kwa muda mrefu. Msinielewe vibaya jamani.
Mungu kakupa.........
Wangapi wametupenda wameondoka hawajarudi.. we live once tukiondoka haturidi..."""
 
Mungu kakupa.........
Wangapi wametupenda wameondoka hawajarudi.. we live once tukiondoka haturidi..."""
Hamna kaka mimi mwenyewe nahangaika natamani kupata hata kompyuta lakini nashindwa, lakini bado natafuta ni mtazamo tu niliokuwa nao
 
Hamna kaka mimi mwenyewe nahangaika natamani kupata hata kompyuta lakini nashindwa, lakini bado natafuta ni mtazamo tu niliokuwa nao
Sasa kwa kauli yako hiyo ni sawa na kusema huu umri wangu ni aibu sana kuomba kiasi cha shilingi milioni broo
 
Sasa kwa kauli yako hiyo ni sawa na kusema huu umri wangu ni aibu sana kuomba kiasi cha shilingi milioni broo
Nilivyo kuwa naanza kutafuta pesa nikionaga mtu anafamilia nilikuwa naogopa sana, unakuta ajilishe yeye, mkewe, watoto, kwahiyo nilijua huyu mtu lazima tu uchumi wake ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…