Shuka rhymes...
good, bettet, not best naweza sema,Shuka rhymes...
sio za kugunaguna...
bas chana chochote...
ama fanya unajikuna...
masela tumechefukwa...
tunafanya wida inavyotuma...
Sasa fanya kiutu uzima..
au jikatae mazima...
yeah!
welcome inside hii ni zaidi ya devil section/Naomba battle brothers
Na stim za ganja una battle JF?welcome inside hii ni zaidi ya devil section/
Ma master na mamoonstar we here kwa mission/
pleas usiogope bro hii ground ni yako japo skul haukupass devision/
am not out bro kwa kiswahili chenye dili nyingi nitakuchangia mpaka count ziwe down/
ona kope zimeficha macho be care hii ni starter tu isichoshwe kwa mboni'
japo green kwenye green light kuna masokomoko wengi wasioweza ushindani/
funga kibanda kwa kuwasha ganja full maujanja usihofie csta duu kumpa coin/
#YOUR WELCOME
Sent using Jamii Forums mobile app
niko safe kila idara kwa kila ndumila aliye fake michano kuact kinara/Na stim za ganja una battle JF?
Kukutana na mimi hesabu your not safe,
Kwa hii marathon namudu mile ndefu,
Usi battle na mii muhuni fanya tu uwe chef.
Vuuuuuum sasa dude ndo naliamsha,
Sijali devil ryhmer or freestyle pusher,
Just in few bars ndahakikisha umekwisha,
Just quote hii battle kuisanikisha.
THANKS FOR WARM WELCOME
Oooopss naona umejisahau jinsia,niko safe kila idara kwa kila ndumila aliye fake michano kuact kinara/
sina sent kwenye beg nina noti zenye rangi ya gold mc's wengi hawawezi ng'ara/
punde champ napoingia mikono juu wanasalim amri kama chura ya snura/
hizi si mbwembwe sitobattle nawe kwani najijua kabisa am your winner na upo soft kisura/
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye game kitambo, mi nilimisi fanya mambo,niko safe kila idara kwa kila ndumila aliye fake michano kuact kinara/
sina sent kwenye beg nina noti zenye rangi ya gold mc's wengi hawawezi ng'ara/
punde champ napoingia mikono juu wanasalim amri kama chura ya snura/
hizi si mbwembwe sitobattle nawe kwani najijua kabisa am your winner na upo soft kisura/
Sent using Jamii Forums mobile app
Zero Iq naona unatest mitambo ya ma genius,Kwenye game kitambo, mi nilimisi fanya mambo,
So nitawacha hoi kwenye fani hii kama mgambo,
Niite National icon usinikrem, mi sio mdogo kama microphone, nawaacha hoi,
Nawakimbiza aya msindhani mi nitabwaya, Nazicheza movie zangu siyo simple kama nakaaya,
CC Zero IQ
unajoke public your so funy eti kwenye game kitambo na unafanya mambo/Kwenye game kitambo, mi nilimisi fanya mambo,
So nitawacha hoi kwenye fani hii kama mgambo,
Niite National icon usinikrem, mi sio mdogo kama microphone, nawaacha hoi,
Nawakimbiza aya msindhani mi nitabwaya, Nazicheza movie zangu siyo simple kama nakaaya,
CC Zero IQ
Sinaga Role model,nipo nipo,Zero Iq naona unatest mitambo ya ma genius,
Hii ni one two one two ngoja nishushe ryhmes,
Mwindaji leo nimekutana na vichwa rahisi,
Chukueni somo nawatrain kubattle nami yenu ndogo size,
U emcee ni hard msije na vichwa vya kipaparazi.
unapandisha mapepo nilikuacha sababu wewe ni mwepesi/Oooopss naona umejisahau jinsia,
We Lucy leo umeingia cha kiume kimbia,
Ulikochonoa siko umepotea njia,
Na mwindaji ninacho kufanya subiri tu utahadithia,
The real mc nimekutana na mumble rapper
Unavyomumunya maneno kwani mdomoni meno kapa?
Vina vya hadhi ya dusko vyako vijisenti vya malapa,
King without crown vina bampa2bampa