Poayeaah do it mkuu
NakuaminiaNiweke kwenye Listi ila so ya Makondaa,
Mana nisije itwa sentro nikakosa ka kubongaa,
So mleta mada fanya chapchap,
Fanya ima tudumishe hiphop,
Jeeeeyeeeeh sizonjemadawa hapaMwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.
2015 nilikuwepo mimi Daby magnifico Kaka Jambazi Benny Kaboom gwijimimi chlorine gas na wengineo nimewasahau. Taratibu za kushiriki comment jitaje utashiriki then tutapanga round za battle hadi mshindi apatikane. Mshindi anapatikana kwa kura za watu watakaokuwa wanafuatilia. Mimi nitakuwa mwongozaji. Tunataka Mitindo huru sio mistari iliyokwisha kaririwa.
Demo:
natoa kali ya mwaka
Keti kitako uniskie/
MMU leo inatia shaka
Dent wamejaa kawasikie/
Wengi stori zinatia shaka
Still wanashauriwa nakina Shunie/
Nobody could do it
The way I get it up/
I ain't stop til
HR666 na wenzake wasup/.
Keyon Mkwawe dumesuruali kanali mstaafu oscarsolomon b5-click dutty pk life coach CHE Raptino
Karibuni au sio.. tudumishe utamaduni sio. Kama unashiriki sema. Mashabiki karibuni pia.
Keyon vs Nakembetwa tunawasubiri. Shusheni vitu au mnaandika? ?Hapa tunataka awe na mvuto,
Usije ukatuletea wana kituko,
Mkuu niweke kwenye list kabisa, lazima niwafunike 😀 😀 😀
[emoji16][emoji16][emoji106][emoji106].. ngoja nikuadd kwa list.Jeeeeyeeeeh sizonjemadawa hapa
Nimesoma mistari yenu michafu/
Inanuka ndafu/ wanahiphop mnaishia kujisifu/ wakati nchi inatoa harufu/ soon tutammisi lufufu/ kisa mkuu wa mkoa ana mkono mrefu/
Hahahaha eti mnaita pambano/ mnataka malumbano/ nitawachapa kwa maneno/ bila kutaja yenu nomino
Hawa jamaa wanaotakiwa washushe sijui wanachora lyrics mbona wapo kimya!Life coach nimekusoma frexh tena bila utashi/
Hakika kipaji unacho ila umekosa tu saport/
Wana jf wengne wako kimya cjui awana cha kupost/
Au ndo wale wabana pua hahaaaa itawa cost
Ok list ya kwanza hii hapa.
1. Keyon
2. merengo90
3. Rich Ze Best
4. NAKEMBETWA
Session/round ya kwanza
Aanze Keyon vs Nakembetwa
Mada iwe MMU. Mtapiga round mbili mbili then watu wanapiga kura halafu mshindi anapatikana anasubiri mshindi wa group lingine.
Mwenye la kusema kabla hamjaanza.
Kiswahili ni kizuri zaidi ili kila mtu awe na uhuru wa kuchana.
Jamani mada ni nini?
Umetixhaaaaa mkuuuuuu we ni hatareeeeeyoo yia yiaa
wabunge wa viti maalumu skuizi hawana umuhimu.
sura zao kavu kama wamelamba ndimuu.
maswala ya umuhimu wao wanaleta usanamuu.
hoja zao finyu kama vile vifuko vya aiskrimuu.
yeah 255
Mkuu sema unaniandika kwenye Listi ila so kuniweka..........Utakuwepo kaka nitakuweka muda sio mrefu
Ok utafanya vyema/ maana mistar nishaanza kutema/ wanafiki najua watasema/hebu mike wasipate cha kusema/[emoji16][emoji16][emoji106][emoji106].. ngoja nikuadd kwa list.
Ok mada ni nn? Mana natakiwa nichane kwa mada si kama yeye alivyoandikaNakeregwa hayupo hewani battle na Keyon. ..amesha anza mjibu then naye akujibu then uje umjibu tupige kura.