zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,312
- 40,024
1. Zitto junior ana taaluma ya uchumi na biashara kuhusu level ana degree moja na kwa sasa ndio anamalizia masters masuala ya international trade.1.Ningependa kujua zitto junior ana taaluma ipi na kafikia level gani?
2. Zitto junior unazungumziaje juu ya kitabu cha Henoko ni kweli au si kweli? Pia vipi kuhusu DAVID ICKE unamzungumziaje na theory zake anazotoa?...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhoji kuhusu mnara wa babeli sio kuhoji adhabu ya Mungu bali nahoji misinterpretation ya huo mnara kuwa ulitaka kumfikia Mungu KIMWILI..... Na ndio maana nikasema ili uelewe unatakiwa usome sources za nje ya Biblia upate picha halisi mfano wanaume kuhesabiwa peke yao kwenye Bible suala hilo limepata jibu NJE YA BIBLE kwamba ilikuwa mila ya wayahudi. Hivyo ukisoma outside source utagundua minara ilijengwa kibao tu huko Sumeria ila ilikuwa size ya ghorofa 3 au 4 ila ilikuwa inatumika kufanyia matambiko!!! Sasa haya maelezo ndio unaconnect dots na mnara uliojengwa na ndio maana tafuta kokote hutowahi pata hata msingi wa mnara mkubwa uliozidi ghorofa hata 10 tu ndio sembuse huo uliotaka kufika mawinguni!! Mbona pyramids zipo hadi leo??Ngoja nikwambie kitu kimoja, wew unasoma bible kwa malengo yapi???
Do anything for reason.
Hizo history zingine mnazotafuta ukamilifu nje ya bible hata sion maana yake.
Mfano kuhusu mnala wa baberi
Unashangaa why Mungu aliwakatisha waliotaka kufanya hilo jambo,
lakini unasahau kuwa dhumuni la kujengwa kwa mnala huo ni walitaka wamfikie MUNGU
sasa loketi za sasa unafikili malengo yake ni kufika mbinguni?????
au wao wanadili na anga tu.
Alafu hata kama itokee watu wajarbu tena swala hilo, wew unampangia MUNGU la kufanya juu ya watu hao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu hapa pia utapotoka meza ya Bwana huwa sio PHYSICAL kwamba ukila divai na mkate ndio unakuwa umefanya meza ya Bwana come on brother!! Tunahitaji darasa la moja kwa mojaKatika kanisa la Catholic ni kanisa ambalo wakristo wake hawashiriki kikamilifu Meza ya bwana.
Yani kuula mwili wake Yesu na kuinywa damu yake,
Kwa kula na kunywa mkate na divai.
Ni wazi katika hili kwa kanisa hili, kumekua na kipindi cha
wakristo hupewa mkate pekee na divai kuishia kuisikia kwenye bomba tu.
KAMA UNAFAHAMU KWANN TUNASHILIKI MEZA YA BWANA, UTAJUA NI KWANN KUNA UMUHIMU MKUBWA WA KUFANYA JAMBO HILI NA KWA UKAMILIFU
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu alisema hiviHivi ukijua Adam na Hawa walikula tunda gani
Apple au embe au komamanga au pera inakusaidia nn? maishan mwako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nimekiwekaMkuu yani ulipo jarbu kuelezeaa hilo somo la yohana; mimi sikatai kilicho andikwa,
Pia kama tafsri ya neno hilo tena limetolewa kwenye bible ni sawa.
Ndio maana nikakwambia toka mwanzo, maana ya maandiko hupatikana humo humo ndani ya bible na sio nje ya bible. Note hapo.
Pia swala la minala mingine iliyojengwa na maelezo ya kirefu kuhusu minala hiyo ww unaamin vi story za nje ya bible kirahis rahis hivyo?
NARUDIA TENA KUSEMA BIBLE HAIJAOUNGUKIWA KIASI CHA SISI KWENDA KUTAFUTA MAANDIKO MENGINE NJE YA BIBLE.
KWANI NJE YA BIBLE WAMEJAA WAPINGA KRISTO.
WATAKURUBUNI TU.
sasa kifungu cha biblia kinachosema alikua akizungumzia hekalu la mwili wake, kifungu hcho kwenye bible kipo wapi??????????????
Au umekwenda kutafuta maana nje ya bible???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa.Hapana mkuu hapa pia utapotoka meza ya Bwana huwa sio PHYSICAL kwamba ukila divai na mkate ndio unakuwa umefanya meza ya Bwana come on brother!! Tunahitaji darasa la moja kwa moja
Kama unaamini Yesu alimaanisha mkate na divai ndio utamuokoa mtu basi nisaidie hapa inawezekanaje maana alikuwa hai bado
Yohana 6
53 Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
54 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho
Karibu
Yaaah naona maana ya kile alichokisema imeelezwa hapo hapo wazi wazi,Mbona nimekiweka
YOHANA 2:21
21 Lakini yeye alinena habari za hekalu la mwili wake
Mkuu inaonekana husomi maandiko hayo maneno hakusema akiwa na wanafunzi wake alisema akiwa kwenye mkutano wa injili .... Hayo ya meza ya bwana kaongelea alipokaribia kufaHahahaaaaaaa.
Hahahaaaaaaaa
Zitto JR
Ni kweli muda huo Yesu alikua hai, na ndio maana aliwaambia wanafunzi wake kuwa
wanye divai na kuhula mkate, kwani huo ndio mwili wake na damu yake itakayo mwagika pale msaraban FANYENI HIVI KWA UKUMBUSHO WANGU.
Huo ni ukumbusho.
Sasa wew ulitaka ajikate ka nyama na ajitoboe atoke damu awape wanye????
NAOMBA MKUU UNIPE NA MAANA YA MANENO HAYO KAMA KWELI SISI HATUSTAHILI KULA NA KUNYWA MKATE NA DIVAI.
TUPE maana ya maneno hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Suriya kuhusu minara kuwa "habari za vijiweni" basi nimekuomba angalau uniwekee hapa ugunduzi wowote wa mnara/pyramid lililozidi hata ghorofa 10 tu huko babel (Iraq ya sasa) ukilipata ndio nitaamini kuwa mnara wa babeli ulikuwa unaelekea mawinguni.
Sasa mimi ushahidi wa uwepo wa minara huko babeli ninao mfano El ziggurats.... Unaweza google tu uone hio minara alafu sasa ndio tuje tuhojiane je nani kapotosha maandiko!!
Kumbe unakubali hilo sasa kwanini ukiambiwa tunda halikuwa APPLE mnakataa ilihali maaja imewekwa ndani ya Bible.... Hata mti wa mema na mabaya haukuwa mti kama mti bali ni fumbo ila mkiambiwa mnadai tunapotoshaYaaah naona maana ya kile alichokisema imeelezwa hapo hapo wazi wazi,
Ndio maana nikwambia, maana ya mafumbo ya vifungu vya bible hupatikana humo humo kwenye bible na kama hakuna, basi ujue maana yake ni hiyo hiyo kwa jinsi ulivo soma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unakubali hilo sasa kwanini ukiambiwa tunda halikuwa APPLE mnakataa ilihali maaja imewekwa ndani ya Bible.... Hata mti wa mema na mabaya haukuwa mti kama mti bali ni fumbo ila mkiambiwa mnadai tunapotosha
Embu nikupe homework kasome Ezekiel 31 leo usiku alafu uje unielezee umeelewa nini
Ndio maana nikasema wwe una hatari ya kuwa kama wale wayahudi walioambiwa hekalu wakadhani ni JENGOYani unamaanamisha unataka mm nikutafutie uthibitisho wa kile kilichoandikwa kwenye bible???????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unakubali hilo sasa kwanini ukiambiwa tunda halikuwa APPLE mnakataa ilihali maaja imewekwa ndani ya Bible.... Hata mti wa mema na mabaya haukuwa mti kama mti bali ni fumbo ila mkiambiwa mnadai tunapotosha
Embu nikupe homework kasome Ezekiel 31 leo usiku alafu uje unielezee umeelewa nini
Ndio maana nikasema wwe una hatari ya kuwa kama wale wayahudi walioambiwa hekalu wakadhani ni JENGO
Ndio maana leo hii kuna watu wanapotoshwa sijui Israel watajenga hekalu sijui mpinga kristo ataishi humo hawajui kumbe hekalu atakuwa MTU
Kasome Wakorintho 3:9 na 16 Biblia inasema hekalu ni MTU!!
Nilicheka sana wakristo humu JF walikuwa wanatoka mapovu kusherekea kuzaliwa ndama mwekundu eti ndio sign ya siku za mwisho sababu hekalu linakaribiwa kujengwa
Mkuu taratibu tutaongea lugha moja wakati ukifika
Ndio maana nikasema wwe una hatari ya kuwa kama wale wayahudi walioambiwa hekalu wakadhani ni JENGO
Ndio maana leo hii kuna watu wanapotoshwa sijui Israel watajenga hekalu sijui mpinga kristo ataishi humo hawajui kumbe hekalu atakuwa MTU
Kasome Wakorintho 3:9 na 16 Biblia inasema hekalu ni MTU!!
Nilicheka sana wakristo humu JF walikuwa wanatoka mapovu kusherekea kuzaliwa ndama mwekundu eti ndio sign ya siku za mwisho sababu hekalu linakaribiwa kujengwa
Mkuu taratibu tutaongea lugha moja wakati ukifika
Hapana mkuu hapa pia utapotoka meza ya Bwana huwa sio PHYSICAL kwamba ukila divai na mkate ndio unakuwa umefanya meza ya Bwana come on brother!! Tunahitaji darasa la moja kwa moja
Kama unaamini Yesu alimaanisha mkate na divai ndio utamuokoa mtu basi nisaidie hapa inawezekanaje maana alikuwa hai bado
Yohana 6
53 Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
54 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho
Karibu