zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,300
- 39,987
Na hili ndio moja ya sababu kwanini tunatakiwa tupite kwa theolojia maana kila mtu utakayemuuliza anatoa jibu tofauti meaning tunatumia mawazo yetu
Najibu kama ifutavyo swali moja moja:Samahani mkuu labda sikueleweka
1.nini maana ya kukimbilia mlima Yudea
2. Nini maana ya "wakati wa baridi"
3. Chukizo aliyesimama.... Je mahali Patakatifu ni wapi??
Nilitaka unsiaidie figuratively zina maana gani
Na hili ndio moja ya sababu kwanini tunatakiwa tupite kwa theolojia maana kila mtu utakayemuuliza anatoa jibu tofauti meaning tunatumia mawazo yetu
Ila binafsi kupitia darasa la Biblia nmejifunza kuwa kila neno lina maana ndani ya biblia kuanzia mlima... Mlima yudea.... Wakati wa baridi..... Walio shambani n.k lina maana ya kiroho na mistari exactly kabisa ipo
Labda ukitaka nielewa zaidi nikupe swali moja dogo tu
Mathayo 24
7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa (ukame), na matetemeko ya nchi mahali mahali
Je bible inaposema hivi ilimaanisha nini??
Karibu mkuu
What i meant is mtu ambaye hajapita darasa la Biblia atasema hiyo njaa na ukame ni wa chakula ila aliepitia theolojia atajua ina maana hii kwamba njaa ni ya kiroho sio kimwiliMkuu maneno hayo yasikuvuruge sana hayo lazima yatokeee siku ya mwisho ikikaribia, si unaijua story ya sodoma na gomola,
Sasa mwisho wa dunia ukikaribia dunia itakua imechafuka mala mia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu umetaja BermudaTriangle, hivi ni nini hasa?Kwanza shukrani kwa kufuatilia mada zangu,
Theology sijasomea ila nilikua na interest sana na mambo ya imani hivyo katika pita pita zangu nikapenda kujifunza zaidi kuhusu imani niliozaliwa nayo kupitia wazangu wangu (ukristo) hivyo ndio nikaanza kufuatilia baadhi ya mambo na nikajenga interest sana kwenye topic hiyo.
''Library'' yangu kwanza inatisha maana inajaa vitabu vya mystery na horror.... Mfano angeology (elimu ya malaika ), greek mythology,apocrypha,Bible,mystery za ajabu mfano bermuda triangle n.k zaidi ya hapo ni vitabu vya historia ahasa ancient history kma egyptology,ancient african empires,middle east history n.k
What i meant is mtu ambaye hajapita darasa la Biblia atasema hiyo njaa na ukame ni wa chakula ila aliepitia theolojia atajua ina maana hii kwamba njaa ni ya kiroho sio kimwili
Amos 8:11
11 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA.
Figurative language huwezi ielewa ukisoma kwa uelewa wako na ndio maana kuna watu mpaka leo wanaamini sijui hekalu litajengwa Israel!! Sababu wanadhani biblia ni lateral kumbe ni figurative
Sk nilitaka hilo nilieleze tu
Ni topic ndefu kidogo na kuna nyuzi mbalimbali zimegusia hilo humu JF ila inahusu eneo ambalo pana mvutano mkubwa sana wa "electromagnetism" kusababisha ndege zipotee katika mazingira ya kutatanisha wengine wanahusisha na mambo ya ushirikina kwamba kuna geti la kwenda kuzimu n.k so nadharia zipo nyingi hivyo bado ni suala lenye mjadala mpana sana.
Zito Jr una malengo ya kuja kupata kipato chako cha kujimudu mahitaj yako kupitia inshu gani???Ni topic ndefu kidogo na kuna nyuzi mbalimbali zimegusia hilo humu JF ila inahusu eneo ambalo pana mvutano mkubwa sana wa "electromagnetism" kusababisha ndege zipotee katika mazingira ya kutatanisha wengine wanahusisha na mambo ya ushirikina kwamba kuna geti la kwenda kuzimu n.k so nadharia zipo nyingi hivyo bado ni suala lenye mjadala mpana sana.
Kitaaluma nilisomea masuala ya uchumi na baishara na nimefanya kazi kwenye taasisi kadhaa za fedha ila kwa sasa nimeamua kujipatia muda wa kuongeza elimu/utaalam kidogo ili nijiajiri mwenyewe.Zito Jr una malengo ya kuja kupata kipato chako cha kujimudu mahitaj yako kupitia inshu gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitaaluma nilisomea masuala ya uchumi na baishara na nimefanya kazi kwenye taasisi kadhaa za fedha ila kwa sasa nimeamua kujipatia muda wa kuongeza elimu/utaalam kidogo ili nijiajiri mwenyewe.
Ningependa sana siku moja niwe muwekezaji kwenye masuala ya kilimo maana naamini bado kuwa Tanzania ya kilimo ndio itatufikisha kwenye uchumi wa viwanda, hivyo ni lazima hata vijana tujikite huko pia.
Kwanza shukra
''Library'' yangu kwanza inatisha maana inajaa vitabu vya mystery na horror.... Mfano angeology (elimu ya malaika ), greek mythology,apocrypha,Bible,mystery za ajabu mfano bermuda triangle n.k zaidi ya hapo ni vitabu vya historia ahasa ancient history kma egyptology,ancient african empires,middle east history n.k
Naachaje sasa kuifuatilia hii interview wakati anaye hojiwa ni Moja ya watu wachache wa Jf wenye akili Kubwa kama mlima sayuni "Hahahahah mkuu shukrani kwa kutia timu Nasubiri Hard talk yako nina maswali lukuki......
Ntakuja PM shortly
Wakati natafuta ID gani ya kutumia humu JF kipindi hicho zitto alikuwa anatrend sana hasa kesi yake na CHADEMA hivyo likanijia wazo kwanini nsiite tu zitto junior.... Kiufupi nilikuwa namkubali sana zitto na kiukweli ndio mtu aliyenifanya kuanza kufuatilia siasa tokea 2006Kwanini umejiita Zitto Junior???
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Hahahha mkuu wangu upo.... Nmeona jana kuna kaburi lilifukuliwa nikakuta post yako ya "a talking snake" nilicheka sanaNaachaje sasa kuifuatilia hii interview wakati anaye hojiwa ni Moja ya watu wachache wa Jf wenye akili Kubwa kama mlima sayuni "
Hebu ngoja nikae kitako vyema nipate nondo hapa ...
Mkuu nakusalimia
Sent using Jamii Forums mobile app