Mkuu shida unabisha alafu hauna alternative ndio maana nashindwa elewa wafia dini wa JF sasa unakataa hakuna mafumbo ikimaanisha biblia inaeleweka kama ilivyo basi nisaidie hapa Yesu alimaanisha nini??
Yohana 9
39 Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.
Sasa hili sio fumbo?? Je Yesu alitufanya vipofu?? Sasa kwanini akisema mkate unadai ni huu wa kimwili ila alisema vipofu je ni wa kimwili pia?? Na je maana ya kipofu tuitoe wapi maana unasema mistari inajieleza yenyewe!!
Choice is yours
Ni topic ndefu sana inahitaji uzi maalum ntauweka JF intelligence ila kama una haraka sana nmekwambia kama uko dar naweza kukusaidia hard copy ya notes zangu ukajisomea mwenyewe i believe utarudi ukiwa umefunguliwa akili na utaacha huu utumwa wa sasa wa kuitafsiri Biblia kimwili na ndio maana wakristo wengi hamuelewi kitabu cha ufunuo sababu hiyo mwisho wa siku tunaishia kudanganyana kuhusu dalili za kuja kwa Yesu!!Mkuu huelewi kiswahili unataka nitumie lugha gani???
Nimekwambia mafumbo yapo ndio, lakini sio kwamba kila andiko ni mafumbo,
Katika uumbaji wa Mungu wew umesema ni mafumbo mm nakataa sio mafumbo,
Na kama ni mafumbo tupe ufafanuzi wake kama ulivokua ukidai.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1007399
Tuache bishana irrelevance jibu swali je alipokuwa kilimani alitaka mkutano ufanye tukio la kumbukizi yake miaka 3 kabla hajafa?? Yaani wanywe meza ya bwana ilihali Yesu yupo hai for the next 3 years?? Alafu akikaribia kufa ndio anaishiriki kwa mara ya kwanza!! Kwahiyo aliwaita watu waje mikutanoni kwake wale nyama yake alafu hiyo nyama ndio anakuja kuwaambia wanafunzi wake pekee tena alipokaribia kufa kwamba ni MEZA YA BWANA!!
Does it make sense
Ni topic ndefu sana inahitaji uzi maalum ntauweka JF intelligence ila kama una haraka sana nmekwambia kama uko dar naweza kukusaidia hard copy ya notes zangu ukajisomea mwenyewe i believe utarudi ukiwa umefunguliwa akili na utaacha huu utumwa wa sasa wa kuitafsiri Biblia kimwili na ndio maana wakristo wengi hamuelewi kitabu cha ufunuo sababu hiyo mwisho wa siku tunaishia kudanganyana kuhusu dalili za kuja kwa Yesu!!
Na hii ndio ilisababisha wayahudi wakamkataa Yesu maana walidhani atakuwa KOMANDOO fulani wa kijeshi, handsome boy mwenye six packs sasa wakashangaa mchonga mbao ndio messiah atakayejenga ufalme!! Kumbe hawakuelewa ufalme wa Israel utakuwa wakiroho... Mwishowe wakamkataa na kumuua naiona hatari hiyo ikijirudia kama wakristo ndio mnaitafsiri biblia kwa mitazamo yenu.
Ni topic ndefu sana inahitaji uzi maalum ntauweka JF intelligence ila kama una haraka sana nmekwambia kama uko dar naweza kukusaidia hard copy ya notes zangu ukajisomea mwenyewe i believe utarudi ukiwa umefunguliwa akili na utaacha huu utumwa wa sasa wa kuitafsiri Biblia kimwili na ndio maana wakristo wengi hamuelewi kitabu cha ufunuo sababu hiyo mwisho wa siku tunaishia kudanganyana kuhusu dalili za kuja kwa Yesu!!
Na hii ndio ilisababisha wayahudi wakamkataa Yesu maana walidhani atakuwa KOMANDOO fulani wa kijeshi, handsome boy mwenye six packs sasa wakashangaa mchonga mbao ndio messiah atakayejenga ufalme!! Kumbe hawakuelewa ufalme wa Israel utakuwa wakiroho... Mwishowe wakamkataa na kumuua naiona hatari hiyo ikijirudia kama wakristo ndio mnaitafsiri biblia kwa mitazamo yenu.
Mkuu hapo ina maana waliingia convenant na mwanadamu Yaani walimchagua mtu ambaye atakuwa na utakatifu/imani kama YAO ... Hivyo Adam akawa mtu wa kwanza aliyeingia covenant na Mungu!!Na ndio maana nikakwambia utupe maana ya maneno machache tuuu.
Na tufanye mtu kwa mfano wetu.
Huto tu taneno tuchache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si jana nmekuuliza maana ya KUKIMBILIA MLIMANI ukasema ni mlima hii ya kawaida!! Ilihali kwenye Biblia mlima unamaanisha KANISA/kundi la watu.Njoo direct umejuaje kuwa mm ni miongo mwa wanao tafasiri bible kwa makosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichosema ni kwamba Meza ya bwana ni ya kiroho zaidi hivyo yenye maana sio ile ya kimwili kwamba unakula mkate na divai bali ni lile tendo la kiroho zaidi mfano kwenda kanisani kama kwenda haina faida yeyote kama utaenda kama box ila lenye maana ni ile kuomba,kuimba n.k ndani ya ibada maana ndio tendo la kiroho.Hayo ya kiliman umeyaleta wew.
Mada ilikua ni kushiriki meza ya bwana kwa kuula mwili wake yani mkate na kuinywa damu yake yani divai.
Naona hapo ndio unadai kuwa panamaana nyingine ety kisa muda huo Yesu alikua bado yu hai.
Acha kuchanganya mambo mengi kwa wakati mmoja hatuto elewana.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Zitto junior ana taaluma ya uchumi na biashara kuhusu level ana degree moja na kwa sasa ndio anamalizia masters masuala ya international trade.
Pia nimeanza kozi ya theologia ili kuongeza maarifa juu ya maandiko na hasa kupata majibu kwa baadhi ya maswali yangu
2. Kitabu cha Henoko ukikigrade na Biblia unaweza ukakiona kama kina makosa ila ukikisoma kwa akili neutral utakiona kina nondo nyingi sana tu na ndio maana hata Mtume Yuda kwenye Biblia pamoja na muandishi wa Timotheo wa 2 wamecite mistari kadhaa kutoka humo ila akina sie tukikisoma tunaonekana wapinga kristo!! Mind you kanisa la Ethiopia orthodox wamekitunza mpaka leo toka enzi na enzi na kinatambulika kama kitabu kitakatifu.... So hapa nafkiri ni suala la maamuzi tu kukubali Canon ya waafrika wenzetu au ya wazungu!! Cha kushangaza watu wengi wanaona ya wazungu pekee ndio ipo sahihi bila kujua ukristo ulikuwepo Misri libya na Ethiopia hata kabla haujafika ulaya!!
Kuhusu David Icke nilimuelewa sana kwenye kile kitabu chake cha the biggest Secrets nilikisoma 2013, alipokuja na nadharia kuwa civilization ililetwa na martians kutoka nje ya dunia... Akaleta na ushahidi wa michoro ya UFOs,ndege,solar system n.k kwenye mapango iliokuwepo kwa miaka maelfu na maelfu kabla hta space discovery kufanyika!!
Anyway kuna nadharia zake ambazo bado zimepingwa kwa sana tu ila hata yeye aliweka angalizo kwamba hujalazimishwa kuamini na akasema kama zitateteresha imani yako unaweza acha kusoma kitabu chake hicho cha Biggest secrets. So namkubali sio kwa sababu ya nadharia zake bali kuamua kuwa free thinker na kuhoji masuala magumu
That's all....
Kumbe unakubali hilo sasa kwanini ukiambiwa tunda halikuwa APPLE mnakataa ilihali maaja imewekwa ndani ya Bible.... Hata mti wa mema na mabaya haukuwa mti kama mti bali ni fumbo ila mkiambiwa mnadai tunapotosha
Embu nikupe homework kasome Ezekiel 31 leo usiku alafu uje unielezee umeelewa nini
Shida yako hunielewi kabisa nimeshaweka msingi kwamba maneno yote ya Biblia yana maana ndani ya Biblia hili umekubali maana na ww naamini umepotoka
Nilichosema kuhusu nje ya Biblia sio mpaka yawe mafumbo bali ili kuelewa kitu kwa muktadha wake kwa undani zaidi hasa kama biblia hakijaieleza vizuri na ndio maana hata Yuda na timotheo wamemcite Book of enoch!! Sasa ina maana ww unajua maandiko kuliko Yuda na paulo??
Kingine nje ya Bible sio upotoshaji bali kuna vitabu vimetambuliwa na Bible na kuna makanisa yanavitumia mfano book of enoch na Book of jasher so ikiwa kanisani kwako ni NJE YA BIBLIA basi tambua makanisa mengine na NDANI YA BIBLIA.
Narudia tena Hakuna kitabu ambacho nimewahi jengea humu hoja JF ambacho hakuna kanisa ambalo linakitumia.... Vitabu vyote navyotumiaga ambavyo kwako unasema Ni nje ya biblia huwa ni ndani ya biblia kwa makanisa mengine so usilazimishe Canon ya Biblia yako ndio iwe sahihi hauwi objective.
Namalizia kwa kumnukuu martin luther aliyesema Apocrypha ingawa sio part ya bible ila ni VIZURI KWA MAFUNDISHO
So ina maana martin luther hajui Biblia!!
Hahahaha mkuu unafukua kaburi,Kwa nini unawachukia watutsi sana?. zitto junior
Okay 👍Hahahaha mkuu unafukua kaburi,
Siwachukii watutsi ila mie mpenda haki so sipendi watu wenye tabia za kuonea watu.
Hao watutsi wamenyanyasa sana wahutu kuanzia Burundi,Uganda hadi DRC ndio maana nawakosoa sana wanapokuja na upotoshaji kuhusu masuala ya siasa za maziwa makuu.
Ila wao kama wao siwachukii kiufupi marafiki zangu 80% ni Watutsi wa Rwanda na Uganda na maisha yangu yote ya shule na chuo nmeishi room moja na watutsi watupu.
Wewe huna asili ya Kinyarwanda ?Hahahaha mkuu unafukua kaburi,
Siwachukii watutsi ila mie mpenda haki so sipendi watu wenye tabia za kuonea watu.
Hao watutsi wamenyanyasa sana wahutu kuanzia Burundi,Uganda hadi DRC ndio maana nawakosoa sana wanapokuja na upotoshaji kuhusu masuala ya siasa za maziwa makuu.
Ila wao kama wao siwachukii kiufupi marafiki zangu 80% ni Watutsi wa Rwanda na Uganda na maisha yangu yote ya shule na chuo nmeishi room moja na watutsi watupu.
Hpn mkuu mie ni mbongo pure tena wa Serengeti hukoo kwa wakurya sema kwa nature ya kazi ya mzee wangu nlijikuta nakulia na kusoma nchi jirani za maziwa makuu.Wewe huna asili ya Kinyarwanda ?
Nimekuelewa vizuri mkuu. Lakini naomba kufahamishwa unahisi nini kinawezatokea Rwanda siku Kagame hayupo ?Hpn mkuu mie ni mbongo pure tena wa Serengeti hukoo kwa wakurya sema kwa nature ya kazi ya mzee wangu nlijikuta nakulia na kusoma nchi jirani za maziwa makuu.
1. Waendelee kuishi kwa ''amani'' kama sasa uchaguzi ufanyike ashinde yeyote na wazidi kupaa kiuchumi. Ingawa nani atakubali kuanguka uchaguzi ndio swali?Nimekuelewa vizuri mkuu. Lakini naomba kufahamishwa unahisi nini kinawezatokea Rwanda siku Kagame hayupo ?
Daah, shukrani sana mkuu, nimeelewa vizuri. Uelewa wako wa hizi siasa ni mpanga, nakupa hongera.1. Waendelee kuishi kwa ''amani'' kama sasa uchaguzi ufanyike ashinde yeyote na wazidi kupaa kiuchumi. Ingawa nani atakubali kuanguka uchaguzi ndio swali?
2. Kagame akianguka wahutu walio 90% watataka sasa uongozi wa nchi urudi kwa walio wengi, kama watutsi watakubali basi amani itakuwepo ila wakigoma kama Burundi basi genocide pengine kubwa tokea ulimwengu uumbwe itatokea.
3. Suluhisho kagame aandae Mhutu kibaraka ampe madaraka makubwa kwenye system na aandae watu kisaikolojia kuwa akiondoka jamaa aachiwe urais.
4.Otherwise kama anataka watutsi waendelee kutawala basi amuweke ssa akiwa hai ili amkingie kifua mpaka anakufa ataacha nchi kwa mikono salama ya watutsi.
All in all siku kagame anaondoka kama wataendekeza ukabila na chuki basi hiyo vurugu ya kutafuta madaraka itarudisha nchi kwenye vita. Kumbuka nkuruzinza atasuport wahutu hku museveni anasupport kijeshi watutsi, hapo itakuwa ni bloodbath hatari. Mungu aepushe kwa kweli.