JamiiForums game of the year

kamanda mbona sijakuelewa? Unanitambisha queen
wako? Hujui kua ni hatari kwa afya ya usalama wako? Nitakunyang'anya!

Mdogo wangu kama umechoka kuvaa Jeans ! Haya!
Kuna members wawili ma'senior humu nishawashusha mishipa ! Kwa ajili ya huyuhuyu mai waifu !
Huyu sio gal frend au hawara!
Ni mama ya boma!
Nabhan ningependa nikuone unaendelea kuvaa Jeans, na makadet yako, vinginevyo utapenda uzekee kikoi na kanzu gusa uone mziki wake ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom