Nani kampa ruusa huyu kijana ashike kipaza, hebu chukua kipaza na upumbav wake sambaza, huyu mtoto ni vip me nakupa darasa, jinc unavoslide mm nakutomaxa, ukitaka jiuzulu kama lowasa, mchz umenasa, kwenye mtego wa kasa...0ne two one two one two one twonipe mic , nipe micwaraap ..........
duh!mzee kama dudu baya kwa kulazimisha vina!!!!!!
lowasa ni mwizi kaiba nipesa,Nani kampa ruusa huyu kijana ashike kipaza,hebu chukua kipaza na upumbav wake sambaza,huyu mtoto ni vip me nakupa darasa,jinc unavoslide mm nakutomaxa,ukitaka jiuzulu kama lowasa,mchz umenasa,kwenye mtego wa kasa...
kijana we umeshawehuka..,kina MS wananijua kwani doz nazowapa nimzuka..,Utadata ukisubiri kuona nafirisika..,Bado husomi kama me nimefika..,Naicheza gem vile nataka..,Full chaj bila mashaka..,Ndani mpaka nje mipaka..,Ucpime we panya mi paka..,Mi mmbunifu we sucker..,Daily napigana ili kupata kile ninachotaka..,Maskan nimeaga nina zote baraka..,lowasa ni mwizi kaiba nipesa,nina mipesa pesa sio ya wizi kama ya lowasa nakutuma pemba,nenda bila chupi popo bawa wakungoja wakuvunje bikra .........one 2 one 2 ..
we dogo tulia unyolewe upara,mgao wa umeme unakupiga kama jua kwenye upara,piga shule acha kula mapera,babu zako walikimbia umande ona unavyopigika , one 2 one ...utaishia kupiga deki kwenye maofisi, ukidhani umetoka kumbe we fisi,watu mbele tunapiga mrija kwenye juisi,bongo msoto na watakufilisi,dogo piga kitabu acha usharobarokijana we umeshawehuka..kina MS wananijua kwani doz nazowapa nimzuka..Utadata ukisubiri kuona nafirisika..Bado husomi kama me nimefika..Naicheza gem vile nataka..Full chaj bila mashaka..Ndani mpaka nje mipaka..Ucpime we panya mi paka..Mi mmbunifu we sucker..Daily napigana kupata ninachotaka..Maskan nimeaga nina zote baraka..
haha nic try buga...,wananita GG we sijui Ivuga..,uko k.koo unazuga uko mbefele unakula barger...,nyie vijana vp mbona mnaigaiga..,mnajifanya matoz mnamentain hizo figa..,maduu mnapenda jamani acheni kujigajiga...,mtakufa na huo wenu ujinga...Me ndo G bana they can't figure...paaaawe dogo tulia unyolewe upara,mgao wa umeme unakupiga kama jua kwenye upara,piga shule acha kula mapera,babu zako walikimbia umande ona unavyopigika , one 2 one ...utaishia kupiga deki kwenye maofisi, ukidhani umetoka kumbe we fisi,watu mbele tunapiga mrija kwenye juisi,bongo msoto na watakufilisi,dogo piga kitabu acha usharobaro
linajiita Guchi, Gucci yale mabuti.Sura kama litochi, daily mzee wa kula vikibuti. Kakurupuka kusechi, akili fupi kama ya joti. Na mimi umetaka mechi, ntakukata hayo mat!ti......... Unadai wajua kuimba, mistarii imepindapinda.Au mipasho ndo unatuchamba, kama yule Ana Makinda.Huna jipya kama magamba, mambo yashawashinda.Mh kijana umeshajamba,najua hizo ndo shukrani za punda.teh teh teh. Cheerstill now cjaona mnachochana, labda I will be back baada ya mida kupita pita, bado hamna sifa ya kubattle na Pat Da MC mkali, ninaechana bila ya ku2mia M.I.C, Mwalabuhi endelea kuwakimbiza huku ukiwatafuna, especially these two guyz GG na Saint Ivuga, cuz me huku mambo flaniflani yanabana. . . . .
I thank the Almight God, For you Little Good Guy for being Good all ofthe time, Dogo u a stil underground, while ukicheki wenzio 2na get pound, bora urudi class ukaji'reset, upesiupesi, the way nnavochana kijana nakupa stress, dume zima eti unavaa underskirt??una'claim eti Pat ninaimba!, dogo ukome Gucci ninapga Freestyle, cheki sasa naona unataka kughaili, usighaili bhana na hapa bado cjadondosha li'movie kamil.....Mentor karibu hapa ushakaribia!linajiita Guchi, Gucci yale mabuti.Sura kama litochi, daily mzee wa kula vikibuti. Kakurupuka kusechi, akili fupi kama ya joti. Na mimi umetaka mechi, ntakukata hayo mat!ti......... Unadai wajua kuimba, mistarii imepindapinda.Au mipasho ndo unatuchamba, kama yule Ana Makinda.Huna jipya kama magamba, mambo yashawashinda.Mh kijana umeshajamba,najua hizo ndo shukrani za punda.teh teh teh. Cheers
hahaha kijana naona uunajaribu.., lakini hii sio kamaa bahatinasibu.., tena mbona huna adabu.., kamaaaa yuuleee fisad mwarabu.., sura ka shetan hebu nenda katubu..,check jinc mm navyoweza frestyl..,leo mpaka wote mkubali..,kuwa kwa frestyl mm ni mkarii...paaaaI thank the Almight God, For you Little Good Guy for being Good all ofthe time, Dogo u a stil underground, while ukicheki wenzio 2na get pound, bora urudi class ukaji'reset, upesiupesi, the way nnavochana kijana nakupa stress, dume zima eti unavaa underskirt??una'claim eti Pat ninaimba!, dogo ukome Gucci ninapga Freestyle, cheki sasa naona unataka kughaili, usighaili bhana na hapa bado cjadondosha li'movie kamil.....Mentor karibu hapa ushakaribia!
I said, a hip hop the hippie the hippie
To the hip hip hop, a you don't stop
The rock it to the bang, bang boogie
Say up jumped the boogie
Gucci Umesoka mwanaharakati, mperampera gongesha huku twawakondesha
masnitch ndani ya thread kazi yao kudiss,
Kuna Myao wa tunduru Mitindo huru haspit still ajifanya rhyme critic,
Kama flow huzifeel so why kwa thread umestick,
shut up hufam rap tactics,
Me and gucci we keep rockin yoo and we don't stop yooo
hahahahahahahahahaha!Hii thread ni zaidi ya vichekesho.Yoyo yo yo yo yooo! ngoja kwanza nimesahau kushika chini ya zipu ya suruwali; na kukunja ndita.Haya sas, yoyo yoyoo yoyo, ah nimesahau kuvuta bangi kidogo.........:
be aware that am not the mc to dis
i'm jus a man who enjoys the music
dont try to battle with the Yao the best
u freestyle wit slug in ya chest
pokea kipaza umalizie the rest....
Sikiza nkufunze game na mitindo huru,
Myao wa tunduru,
Si ndo Kule kwenye kunguru?
Maujanja bure kamata bila ushuru,
Yatie fikra zako nuru,
Aahaa hujui hata kushukuru,
Am out wats ya next turufu ndani ya hizi duru?
haha nic try buga...,wananita GG we sijui Ivuga..,uko k.koo unazuga uko mbefele unakula barger...,nyie vijana vp mbona mnaigaiga..,mnajifanya matoz mnamentain hizo figa..,maduu mnapenda jamani acheni kujigajiga...,mtakufa na huo wenu ujinga...Me ndo G bana they can't figure...paaaa
Hahahaha! Mbavu sina hakiyanani!moja mimi, mbili mimitatu miminne mimitisa pia mimidogo ivugakama kibuana kwa ubuantamvuana kubutua hana kujua..................i
moja mimi,
mbili mimi
tatu mimi
nne mimi
tisa pia mimi
dogo ivuga
kama kibua
na kwa ubua
ntamvua
na kubutua
hana kujua
..................i