marahaba my son. shika kalamu na karatasiAuntie!
Shkamoo , ntazamie namie , coz mi nikihitaji kuingia huko kujiangalia , salio langu (MB) zinalika kama randa za mbao zilizopigwa kiberiti.
hii akauntu tunatumia na mume wangu.....
...Likewise, nawe utumie na hii yangu honey. Takupa pasiwedi.
Si ndo hapo bhana...ukauzu gan huo...sio ufahari ku'like' kimoyomoyo...iachie tu like yako kiroho safiaaaah bhana miaka 5 yote hamna mchango uliopenda?
Kiroho safi kura naitoa.......naruhusiwa kupiga kura ngapi zaid