Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,786
- 5,882
Kuna tatizo nalionaga siku hizi, unakuta ume-quote post ya mtu kama hivi, ukaandika ujumbe wako then una-post. Lakini cha ajabu utaonekana umequote ila ujumbe ulioandika hautokei.Wakuu,
Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu.
Mabadiliko hayataonekana kwa macho bali experience ya JF upande wa ufungukaji (kasi) ndo itaongezeka.
Tusingeweza kufanya mabadiliko haya makubwa bila kwenda offline kutokana na sababu zisizoepukika. Mabadiliko mengine ya kimwonekano na upande wa app yatafanyika bila ya kwenda offline kabisa.
Tunawashukuru sana kwa uelewa wenu
ahsante kwa maboreshaWakuu,

😁😁😁😁😁Unahitaji ban ya lazima.Kwa nini Musiba anamhusisha mkurugenzi na harakati za kisiasa?
Wewe unastahili kupigwa ban kila baada ya siku 2.Sawa invisible ila mathalan kuhusu usalama wa taarifa je mfano email yangu Mimi naiona nikiklik tu vile vimistari pale juu kulia Sasa je mtu anaweza ona personal particular zangu mfano email na vipi Kama nataka kubadili avatar naona inagoma ila kila la heri japo sikuhizi mna merge Sana nyuzi na kudelete pia ban zimezidi Mimi napigwa ban kila baada ya wiki mbili kwa Mambo ambayo hata sio tatizo ukilitazama kwa engo yoyote ile mpaka najiuliza hivi modes wa jf Ni MATAGA
Mke wangu vipi Tena mama mwanamke wangu ??Wewe unastahili kupigwa ban kila baada ya siku 2.
?Mke wangu vipi Tena mama mwanamke wangu ??
ikiwa hivyo nitaamini mataga wapo kwenye Seva za jf
Tatizo hili linafanana kabisa na la kwangu na nadhani ni kwa watumiaji wengi wa JF.It will be fixed. Promised
Vipi kuhusu notifications?Well noted, ila nadhani ni browser issue.
Tutaangalia upande wetu. Otherwise nishauri uwe na updated browser
HahahaMzee had ww wanakuonea
Kama vp tuma kikos kazi
Sawa naamini haunidanganyi mkuuIt will be fixed. Promised
Aiseeeeikiwa hivyo nitaamini mataga wapo kwenye Seva za jf