JF Email Accounts

Status
Not open for further replies.
Invisible Mungu akubariki kwa service hii maana sisi tuliianza zamani na inakwenda vizuri. Ngoja nikasome mails zangu.
Je Tshirt zinapatikanaje?
 
Invisible Mungu akubariki kwa service hii maana sisi tuliianza zamani na inakwenda vizuri. Ngoja nikasome mails zangu.
Je Tshirt zinapatikanaje?

Mmmmmh

lol.

Nilitaka nishangae, kumbe weye wafaidi vinono kimya kimya?

Hongera.
 
..................na mimi tafadhali, nisaidie e-mail address hiyo.
asante
 
Mkuu nimepita huko!
Lakini mbona ule ujumbe ulioko ndio huo tuliouzoea kila siku katika mail zetu?
Ama kuna jipya hapo?
Idimi@jamboforums.com

Jipya lipo idimi, ni kwamba na sisi tusio na email tujiunge.

mkuu invisible natuma ombi langu rasmi la "hofstede@jamboforums.com"
 
Na mimi naomba unifungulie mkuu...japo itakua imekaa kimagamba zaidi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…