JF Dr, Amelia "Ninakuja" halafu akazimia

...nashawishika kuamini mtoa mada aliwahi kuwa mwanamazingaombwe...
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????????????????????????????????????????
 
Yaani kuanzia title hadi content sijaelewa kabisa labda mtoa mada ni jiniasi.

mkuu kwani hujawahi kuona kichaa yoyote mida ya jioni,akiwa kakalia jiwe nje huku akihisi mida ya kuchomwa sindano na dr imefika,huwa wengi wananena kama huyu,na humalizia kwa kudondoka chali kama mgonjwa wa kifafa,tembeeni muone
 
Funguka badala ya kumwaga mitusi humu. HATA akina Sadani Kandoro na Shabani Robert huwajui. Majanga ya Div V
We unaleta vitu visivyoeleweka halafu unaatach na mipicha ya kihindi
halafu unajifananisha na Saadani, ah no bila shaka utakuwa ni sawa na
yule mfalme aliyetembea uchi halafu akauliza kama mavazi yake yameprndeza
 
Ambiente Guru , huo ni wimbo ama kitu gani? Sijaelewa/hueleweki? La sivyo ujitetee "...ni kwa nini huu uzi wako usifutwe"?

Kasome thread yangu ya kitabu cha UFOS na ya Mmea wa ajabu ikifuatiwa ile ya Polisi wategua Kitendawili cha JF halafu uje niambie.
Mkuu
 
We unaleta vitu visivyoeleweka halafu unaatach na mipicha ya kihindi
halafu unajifananisha na Saadani, ah no bila shaka utakuwa ni sawa na
yule mfalme aliyetembea uchi halafu akauliza kama mavazi yake yameprndeza

Jambo usilolijua litakusumbua bure rafiki yangu
 
mkuu kwani hujawahi kuona kichaa yoyote mida ya jioni,akiwa kakalia jiwe nje huku akihisi mida ya kuchomwa sindano na dr imefika,huwa wengi wananena kama huyu,na humalizia kwa kudondoka chali kama mgonjwa wa kifafa,tembeeni muone

Imeandikwa! Usihukumu. Kuhukumu muachie yeye.
 
ama kweli bubu na kipofu wakigombana tatizo ni atakaye kuja kuwasuluhisha kesi inahamia kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…