Hahahaha huyo aliyetaka kumpeleka James delicious gerezani utata ukaja amweke kwa ME au KE!!hahahaha haya baba.Hahahaha!. Hill sijui, nenda Tweeter kamuulize Kigwangala. The Quack doctor.
Bashite= Jinga laoBashite =?
Nyumbu =?
hahaahahhaahahhahahaahhahahaahhaBashite= Jinga lao
Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli
Popoma=mtu asiyejielewa
Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.
Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke
Abdallah Kichwa wazi=Uume
Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder
Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Ipi ?Maana batili hiyo.
Nahitaj kujua namna ya kuapload photo/picture katika uz wangu ili pic hiyo ionekane front b4 kichwa cha habar, bimejari bt imenipa tabu
et al