Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Busu la mzee mwenzangu Ushimen kwa wanajukwaa!Weka chochote unachodhani kitakuwa ni kumbukumbu ya kukumbukwa vizazi na vizazi
Inaweza kuwa
Picha
Nukuu
Video
Link
Ama chochote
View attachment 3353012
domo kaya!
Duuh...hahahaha mji ulichafukaImani, upendo, miujiza....
View attachment 3353033
huenda hapo anawambia wenzie.. "oya side mbna nyama hamuweki kila siku mchicha maharage mnaleta."
Kamepishana na magarasa?😁😁😂😂😂
Huo uwanja na chopa ingekuwa mkutano wa CHADEMA ungetapika!
Nipo singo, fungua PM mkuu...😋
Mtu akiniita mkuu siwezi kumfungulia PM 😎Nipo singo, fungua PM mkuu...😋
Jamaa alijua kufanya matangazo kwakweli, utake usitake utaona tuu 😂Duuh...hahahaha mji ulichafuka