JF detox... Time πŸ“΄

Hahaha wakati anajiunga humu alipiga hodi? Mbona humu watu huwa tunapotea hata miaka mitatu na tukirudi watu hawashangai ?
Ni nyie ambao mna ngebe tumboni mnaona issue, kuandika niandike mimi muumie nyie..
What a pitty society we live in
 
Ni nyie ambao mna ngebe tumboni mnaona issue, kuandika niandike mimi muumie nyie..
What a pitty society we live in
Kijana punguza kutafuta attention ambazo hazina umuhimu. Tunakuelekeza tu. Tupo humu miaka 16 hatujawahi kuishi humu kwa ajili ya kutafuta attention
 
Kijana punguza kutafuta attention ambazo hazina umuhimu. Tunakuelekeza tu. Tupo humu miaka 16 hatujawahi kuishi humu kwa ajili ya kutafuta attention
No one is seeking
it's you who think so

It's you who think that everything one post's is to seek validation....

And your attempt is to humble that person sasa kwangu ni kama mnajisumbua tuu. Mimi huwa sina mda wa kuvumilia disrespect hata kidogo
 
Mkuu nimepotea humu miezi minne nimerudi jumamosi mbona hakuna hata aliyenishangaaa?
Sasa mbona unauliza maswali kuwa others are seeking attention kama hakuna aliye notice uwepo wako? Mbona watu mnakuwa na perception uchwara kwenye kila kitu?
 
Ukijilazimisha kujamba utakunya . Wewe jipoteze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…