Kumbe hili tatizo sio Langu tuπ€¦π½ββοΈMwaya nitakumis sana.
Sisi wengine JF ni kijiwe cha gahawa /kibaraza cha umbea uswahilini , tukichoka na kuuza supu tunakuja kuzogoa humu, hapo mtu haujibu msg wasapu/haupokei simu ila JF uko active.
Itβs JF and ticktock for me.
Sugu sana tujitafakari πKumbe hili tatizo sio Langu tuπ€¦π½ββοΈ
π π ndio mdau kipenziuko addicted na wewe sio mdau?π
Aiseee! Sema mimi inanisaidia sitaki kulower my egoπSugu sana tujitafakari π
Unaepuka mengi umbea wa mtaani, kuzurura etcAiseee! Sema mimi inanisaidia sitaki kulower my egoπ
tutaftane bana mdau,π π ndio mdau kipenzi
Kwanza nilivyo napenda kujifungia ndani hata week nzima! Acha tu hiki kiwe kijiwe changu! Mtaani kusutwa ni kugusa mamaake πUnaepuka mengi umbea wa mtaani, kuzurura etc
HapanaHaruhusiwi kutoa machungu?
ππUkiondoka niachie chumba chako
Punguza sauti hii itamumiiza zaidi si unajua ni shabiki wa CR7We are not Fwb dear!
Location unaijua mdau acha zakotutaftane bana mdau,
ili tuone namna tunavyoweza kupunguzana addictions na stress za aina mbalimbali π