Wadau leo wikiend wapi; mi niko jijini kwenu au mnataka kuwa kama wale wa Mwanza ambao wageni huingia mjini kwao wanajificha
Ni PM bantu lady I will appropriate
Ni PM bantu lady I will appropriate
watu wa dsm tahadhari nyingi kama sisimiziWatu wa dar jitokezeni bas
Wewe ni he au she? Kama ni she ebu ni PM namba zako chapchap sana.
Afu ukome, Dar sio wing, ni hedikotaz.
Angesema yy ni she ungeona watu wakichacharika na pm's
Afu ukome, Dar sio wing, ni hedikotaz.