Jf Couples (New Version)


Acha kumdanganya wewe,mbona huwa unalala mpaka unakoroma na kumuasha Tuli?

Taratibu basi mbona unataka wambea wajae bana
(Kwenye mabano tena. Ni wewe tuu hakuna mwingine. Nakupenda kama pesa aise. Yaani ukikosekana najiona kama nimechalala mbaya. We ni wangu mahabuba)

Ukimuona mkeo unaona kama mfuko umetuna au vipi:wink2:
 
Ha ha ha ha kumuacha nilikwambia siwezi walahi vile hata unifanyeje. Mzima lakini umechange ID??

Kwa jinsi gani alivyomtamu.....basi burudani inaelekea yule wako anakasoro kidogo.
Mi mzima mkemwe,imebidi nibadilishe maana Tuli kashajua kusoma sasa inakua shida kidogo akiona jina lake.
 
Omg! Itabidi unipangie pango masaki! Ntapita wapi huku temeke si watanitoa roho?
Naomba hela ya kufungulia account, naenda kwa registrar anipe introduction letter ila itabidi aseme mie mfanyibiashara ya vito.
Kwanza...........kamata hii.........


halafu.........una accounnt benki kuu?? I am banking with them, kama huna, kafungue, itakuwa rahisi mimi kukufanyia transfer!!!

U know wara i mean!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…