The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
:scared::scared::scared:( Wewe ni wangu mahabuba. Nakupenda kiasi kwamba hata uji haupiti nikikukosa. Silali usiku kwa ajili yako. Nakuota kila siku. Nakupenda mahabuba wangu )
Ukisoma futa fasta au funika na wino mweusi wambea wasione
Lol...umenikumbusha mbali sana ile thread ya kutafuta Infii
Mr Rocky na Mama Tuli mbona mnaisahau sana hii couple au kwa kuwa haivumi
TF na na na na na na ........SL ( kwenye deal la kukwapua sadaka kutoka kwa waumini)
Teh hii kashfa aisee kula sadaka za waumini LolHawezi kuja anaugulia maumivu ya kuachwa
Na sadaka za lile kanisa aliondoka nazo TF zote
Mtu Chake kimya kimya basi wasione wengineBroda Rocky uko..mzee wa 3 Bomba...hahahahhaha
Yupi huyo?
( Wewe ni wangu mahabuba. Nakupenda kiasi kwamba hata uji haupiti nikikukosa. Silali usiku kwa ajili yako. Nakuota kila siku. Nakupenda mahabuba wangu )
Ukisoma futa fasta au funika na wino mweusi wambea wasione
We si nimesema usisome pita kama hujaona:scared::scared::scared:
A Friend....:scared::scared::scared:
Eliza wa Tegeta + ????????????
Kongosho + ????????
Aspirin + ??????????
Kaizer + ???????????
He he he unaanza kunibembeleza kijanja tutakutana tu kwenye 18 leo jioni halafu ndo utanieleza vizuri
Haya sasa inakuwaje...kama nilivyokwambia sasa ole wako ubadilishe..
HANIPENDI YULE ONA ALIVONIFANYAWe wa kwako INVISIBLE..
Mtu Chake kimya kimya basi wasione wengine
Ukiiona hiyo status pita kama hujaiona wala usiisome
Smile..A Friend....
ccepts you as you are
(B)elieves in "you"
(C)alls you just to say "HI"
(D)oesn't give up ! ! on you
(E)nvisions the whole of you (even the unfinished parts)
(F)orgives your mistakes
(G)ives unconditionally
elps you
(I)nvites you over
(J)ust "be" with you
eeps you close at heart
oves you for who you are
(M)akes a difference in your life
(N)ever Judges
(O)ffer support
(P)icks you up
(Q)uiets your fears
(R)aises your spirits
(S)ays nice things about you
(T)ells you the truth when you need to hear it
nderstands you
(V)alues you (W)alks beside you
(X)-plains thing you don't understand
(Y)ells when you won't listen and
(Z)aps you back to reality.....
LOVE U BROTHER
Mambo mgeni..Mchungaji unayekula kondoo nipishe huko.
Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders (LIzzy&The Finest,2011), Revision & Promotion(Konnie, 2012)
Hahahaha!!! Tunamalizia kuifanyia COPYRIGHT kabisaMchungaji unayekula kondoo nipishe huko.
Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders (LIzzy&The Finest,2011), Revision & Promotion(Konnie, 2012)
Hahahaha!!! Tunamalizia kuifanyia COPYRIGHT kabisa