Jf Couples (New Version)

Nani king'ang'anizi ,nani katoka, nani ingizo jipya??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Hii sasa in offence sweetlady mtu na kaka yake tutaweka wapi hizi sura zetu mweeh.

Ungepanga hivi Lily Flower na Mungi Preta na Arushaone (ingawa kakimbia jiji) sweetlady na nitonye hapo inamake sense kidogo.
 
Filipo ndio unavyomdanganya huyu mkemwenza? Mueleze tu ukweli kwamba,tunasonga mbele ajaribu kurudiana na nitonye

achana nae huyo mpz! Si unajua bado anaugua adha ya kuwa nyumba ndogo. Tangu nitonye amtose, sweetlady hajakaa sawa hadi leo, hasa ukizingatia hatapata wakwenda nae Tanga!
 
Last edited by a moderator:
achana nae huyo mpz! Si unajua bado anaugua adha ya kuwa nyumba ndogo. Tangu nitonye amtose, sweetlady hajakaa sawa hadi leo, hasa ukizingatia hatapata wakwenda nae Tanga!

Ha ha ha!!Bora umenishusha pumzi!!!!
Tupange zetu safari yetu ya Tanga na jinsi tutakavyokula good time!!!
 
Last edited by a moderator:
achana nae huyo mpz! Si unajua bado anaugua adha ya kuwa nyumba ndogo. Tangu nitonye amtose, sweetlady hajakaa sawa hadi leo, hasa ukizingatia hatapata wakwenda nae Tanga!

Hubby umenikumbusha ule wimbo ....
Kuachwa x2
Kuachwa ni shughuli pevu, hasa kwa yule unayempenda......
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!!Bora umenishusha pumzi!!!!
Tupange zetu safari yetu ya Tanga na jinsi tutakavyokula good time!!!

mimi na wewe tu wife! Nataka niwaunganishe sweetlady na Nicas Mtei maana wanaonekana ni wapweke sana! Lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…