Mi napita tu hapa, nimesahau miwani yangu home leo so hata kusoma siwezi kabisaaaaEeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
Well.....sio ishu....hebu tucheck hii...
1. Husninyo + Judgement (baada ya Uporoto kupigwa chini)....
2. Cantalisia + Rejao (hii ni baada ya kumkwapulia Smile).....
3. Taijike + Excellent (wapya hawa).....
4. Erickb52 + Amyner (kama #3)......
5. Mwali + Ivuga (japo Ivuga kamkimbia Mwali).....
6. RussianRoulette + Paw (mmmh)....
7. Preta + Mtu Chake (japo TANMO anataka kuvuruga)......
8. Sweetlady + Nitonye (ila Sweetlady anataka kuvunja ukwimya samweya)
9. Kaizer + AshaDii
10.
11.
Nani nimemuacha......
nitaweka mpenzi.....kuna nyingine zimekufa na nyingine ni mpya....
yangu mwenyewe ipo chali.....
Mkubwa upande gani?
unajua kuwa charminglady ana kiumbe nadn ya tumbo tayari?
unajua kuwa charminglady ana kiumbe nadn ya tumbo tayari?
Halfu usiwe unataja jina la Saint Ivuga napata hasira
Duh, ina maana tayari wote wako paired? Cmpati hata wa muda mfupi jaman nisaidien? Niko alone aisee!
njoo kwangu, kwa muda
akija mwenyewe nakumwaga
he he.....umefufua wapi hii.......kunahitajika marekebisho hapa.......mambo ndivyo sivyo.........
teh teh teh ngoja nijitutumue nijarib bahat yangu, hii kuwa singo ni noma bhana! Golden chance neva kam twice! Hii temporary bond inaweza kuzaa pamanent life bond, unaweza pga chn huyo wa1 ukinogewa nami. Karib bibie!