Yaani FP anavyodai hizo shikamoo kwa nguvu! Zingekuwa pesa sasa hivi angekuwa amefikia ngazi ya fisadi.Mkuu si unamjua huyu anavyopenda shikamoo!!! LoL!!! π π Ndiyo maana hung'ang'ania udada ili azikusanye nyingi.
ha haaa, fisadi square, lol!Yaani FP anavyodai hizo shikamoo kwa nguvu! Zingekuwa pesa sasa hivi angekuwa amefikia ngazi ya fisadi.
ha haaa, hivi na wewe bado sijakuingiza kwenye list za wadogo zangu?Mkuu si unamjua huyu anavyopenda shikamoo!!! LoL!!! π π Ndiyo maana hung'ang'ania udada ili azikusanye nyingi.
ha haaa, hivi na wewe bado sijakuingiza kwenye list za wadogo zangu?
kuanzia leo anza kuniamkia, pona yako ni kusalimisha birth certificate yako kwenye PM, sawa?
Yaani FP anavyodai hizo shikamoo kwa nguvu! Zingekuwa pesa sasa hivi angekuwa amefikia ngazi ya fisadi.
ha haaa, sharubu hata mbuzi anazo, lol!Check your pm, unaweza kupima kwa kuziangalia sharubu pia ππ
sasa nisidai haki yangu rafiki?​Umeona eeh!!! Sijawahi kuona mtu anapenda na kudai shikamoo kama FP ππ dah!!!
ha haaa, sharubu hata mbuzi anazo, lol!wewe lete cheti cha kuzaliwa rafiki..... nitakuingiza kwenye list kinguvu kama huleti evidence