Jf chit-chat imepungua mvuto...tuandamane.

Mapenzi kizungu zungu Bishanga asikwambie mtu, kama wewe hujui limbwata nitty anajua! Unalo lol!

Mungu ni wa wote,bora kapigwa ban,siku zote nakutaka unankataa ndo ukaja angukia kwa nitty mchimba madini wa nyarugusu?wanawake bana! Yaani unamkataa mshefa bishanga na minoti yake?
 
Mungu ni wa wote,bora kapigwa ban,siku zote nakutaka unankataa ndo ukaja angukia kwa nitty mchimba madini wa nyarugusu?wanawake bana! Yaani unamkataa mshefa bishanga na minoti yake?
Kipenda roho Bishanga....lol
 
Sasa haya maandamano yameanzia chit chat, yanaishia viwanja gani? Afu mbona umeshusha bango lako?

aya maandamano mpaka kwa invisible na maxence...bango nalinyanyua kwa kuibiaibia,siunajua tena wazee wa virungu na bosi wao Kova huwa awachezi mbali!!
 
kuna jamaa hapa simuoni ila kule kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa anakuwepo!
 


kwani hao wote wamepigwa Ban mmmh
Lizzy- No

Jmushi -No

MTM-No

Bigirita --mmh

Labda maundumula:biggrin:
 
Wewe ban haipiti hapa bana...
Ila maandamano na yaendelee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…