[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua siwezi kupata kura ila hii kampeni hasi dhidi yangu unamtumikia nani?Aisee kweli mie bado mgeni jf, hao wa mahusiano hata siwajui. Ni hii hii mmu au kuna jukwaa la mahusiano silijui?
Khantwe na ukivuruge wote huo eti ni mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio wamenituma sasa.Usiwasingizie wapenzi wangu
Umejituma mimi najuaNdio wamenituma sasa.
Kiswahili kinanisumbua..Upole ndo nn??..Au mtu mpole yukoje??Umejituma mimi najua
Labda upole wa 6*6Aisee kweli mie bado mgeni jf, hao wa mahusiano hata siwajui. Ni hii hii mmu au kuna jukwaa la mahusiano silijui?
Khantwe na ukivuruge wote huo eti ni mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu mpole yupo kama mimiKiswahili kinanisumbua..Upole ndo nn??..Au mtu mpole yukoje??
[emoji23][emoji23]kweli umenichoka daaahLabda upole wa 6*6
Teh teh...Mana sometimes huna tashtiti kabisa..unakuwaga kama maiti..Utikisiki wala husogei..[emoji23][emoji23]kweli umenichoka daaah
Labda sio ww mjeshi wangu..Mtu mpole yupo kama mimi
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo umenilazimisha wakati mimi sitakiTeh teh...Mana sometimes huna tashtiti kabisa..unakuwaga kama maiti..Utikisiki wala husogei..
Acha basiLabda sio ww mjeshi wangu..
Basi yasheee..Acha basi
Teh teh..Basi tusiendelee kutoa siri za ndani[emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo umenilazimisha wakati mimi sitaki
Basi yasheee..
Ungeendelea uone, ningeweka hadi pichaTeh teh..Basi tusiendelee kutoa siri za ndani
Teh teh..Najua hujapona..Ungeendelea uone, ningeweka hadi picha
Unaanza tena eeh?Teh teh..Najua hujapona..
Basi mama..NimeachaUnaanza tena eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.
Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake, nyuzi zake zinahusu nini!
Kura zitapigwa na wana jf wenyewe hapa hapa!
1:mwanamichezo bora
-Okwi boban sunzu.
-Ndumbula ndema
-king ngwaba
-Don crelicuzio(huyu jina lake gumu)
-gentamycim (mwite popoma tu)
2-mchangamsha genge bora
-zero IQ
-Demiss
-ndege John
3-jukwaa la celebrity (wambeya bora)
-Warumi
-hance mtanashati
-Numbisa
-Raynavaro
-msaga sumu
4-jukwaa la chini
-msafwa
-castr
-bugeraha
-jestikila
5-jukwaa la siasa
-britanicca
-paschall mayala
-jinga lao
-malcom lumumba
6 jukwaa la mahusiano
-cute love
-mama Debora
-mrs mol
7 jukwaa la Tech &science
-chief mkwawa
(anayetaka kumchalenge aje)
8 mwana jf mpole
-mshana jr
-Paschal mayala
-khantwe
-lucas Mobutu
-madam s
-sky eclat
9 sangoma bora
-mshana jr
-Likud
-mzizi mkavu
10 bishoo wa jf
-fundi bishoo
-beira Boy
-prince mikazo
-pancho Boy (kujikubali muhimu) [emoji23]
Wengine mnaruhusiwa kuongezea.
Kura zinaaanza kupigwa mwisho ni Leo saa sita usiku.
Washindi watatangazwa hapa baada ya kura kuhesabiwa..
That's how we do