JF Android Mobile App - UPDATED

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,557
Reaction score
16,949
Wakuu,

Wale mnaotumia App ya Android ningependa kuwafahamisha kuwa leo tumerekebisha kasoro nyingi zilizokuwa zimeripotiwa kwetu na hivyo app itawaarifu kuwa kuna maboresho na inahitaji kuwa UPDATED.

Tafadhali fanya UPDATE ili upate app mpya iliyofanyiwa maboresho. Ukisikia mtu anakwambia kuwa hawezi kusoma PM, mwambie aka-update app yake.



Natanguliza shukrani kwa uelewa na uvumilivu wenu wakati changamoto kadhaa zikiwa hazijatatuliwa.

Aidha, niwashukuru kwa kuripoti kasoro hizo ili zifanyiwe kazi.

Niwatakie weekend njema.
 
ok mkuu! .. ....muongeze na kipengele cha ku dislike/ignore comments! ....
 
Asanten

Hahaaa leo kila yule utaskia akisema "Jf wameshughulikia maoni/ombi/ushauri wangu" Hahaaaaa to much kiki in my country, yan hata jf ikipotea hewan yeye ndo wa kwanza kusema " jf wamefanyia kazi ombi langu"
 
Muongeze na emoji vya kucheka,kusikitika na kukasirika katika kipengele cha kulike
 
Mkuu Maxence Melo tunaomba na malekebisho kwa Upande wa Browser, Thread ikiwa na Picha huwezi kuqoute wala ku'like' utaishia kureply tu.
Na huu ndio muonekano wake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…