Jf android app

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
Eee Bwana nimeshangaa kweli kukuta JF iko kwenye Android, Nilijaribu kubahatisha tu mara hii hapa! Nimejaribu kuitumia kwenye Galaxy yangu inafanya fresh japo kuna machache ya kurekebisha, mara kwa mara inachelewa sana kuunganisha kwenye sever au kuto connect kabisa!

Vinginevyo niwapongeze JF kwa hatua moja kubwa! Haya kweli mapinduzi ya TEKINOHAMA TANZANIA
 
Back
Top Bottom