Nipe mimi nitakushukuru kiongoziAston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo nilinunua kwa Bei kubwa.
Nani aje nimpe jezi hii aivae yeye? Sinunui ya Fenerbahce kwanza hadi kieleweke kwanza.
Hahaha daah ndugu yangu aliiagiza kabisa england tena ilikua inauzwa laki na 20....sijui kama anaivaa tena huko alipoUlinunua jezi ya A/Villa au ulinunua Replica Jersey mzee baba?
Ulinunua ya nn mkuu.jezi za utopolo.Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo nilinunua kwa Bei kubwa.
Nani aje nimpe jezi hii aivae yeye? Sinunui ya Fenerbahce kwanza hadi kieleweke kwanza.
Mmmh inategemea na timu na timu. Shabiki wa yanga anaweza kununua jezi ya Simba Kama kumbukumbu yake?Iweke as part of memory, kama haina jina nyuma nenda ka-print kabisa 'SAMATTA' na namba yake. Siyo kila jezi lazima uvae. Mimi nina jezi ya timu yangu pendwa ya kwanza kabisa kununua siivai ipo tu kama kumbukumbu na ina miaka so kama ulikuwa na mapenzi na Samatta huna haja ya kuigawa kama shabiki.
Hahah hiyo haiwezekani hata kwa ushabiki tu wa timu za nje wa timu zenye upinzani mkubwa. Ila kuwa na jezi ya timu unayoichukia inawezekana, unaweza kuwa na mchezaji unayempenda kwenye timu usiyoipenda ila ikitokea akakupa jezi yake huna budi kuitunza na hiyo hutokea sana kwa mashabiki wa timu za Ulaya unakuta mtu ni shabiki wa Real Madrid ila ana jezi aliyopewa na Messi.Mmmh inategemea na timu na timu. Shabiki wa yanga anaweza kununua jezi ya Simba Kama kumbukumbu yake?
Siku nyngne usirudieTulikuwa malimbukeni bila ya kupata faida, tulifuata mkumbo.