This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,185
- 5,431
Yote tisa tarehe 16 sio mbali endeleeni kujenga timu tukianza kugawa vipigo mfurulizo hatutaki lawama . "Tunapiga kichwani tu"Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.
Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.
Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!
Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.
Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
Mmeambiwa mseme kichwa kipi?...Yote tisa tarehe 16 sio mbali endeleeni kujenga timu tukianza kugawa vipigo mfurulizo hatutaki lawama . "Tunapiga kichwani tu"
Wewe unajua kichwa kipiMmeambiwa mseme kichwa kipi?...
Mnalingishia! Mwalimu wako apewe tuzo ya uvumilivu..Amehangaika sana.Ila Rage bana. Yaani hadi zama hizi watu mnalingishia nguo zilizotengenezwa ulaya aiseee
Chako chenye kisogo...Wewe unajua kichwa kipi
We ulishahoji mkataba wa Mo cola na Mo energy zilizobandikwa mpaka matakoni anawapa shingapi?Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.
Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.
Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!
Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.
Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
Mtafungwa mara ya sita mfululizo mkiwa mmevaa jezi zenu huku mnapendeza..!!Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.
Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.
Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!
Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.
Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
Rage anastahili kupewa tunzo ya heshima. Mbumbumbu styleMfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.
Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.
Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!
Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.
Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
HatersKuna jezi, au kuna ubao wa matangazo.....
Mo chungwa
Mo cola
Mo tambi
Mo exra
Mo bungo
Hadi unajiuliza hivi hii ni jezi au ni supermaket
Jezi haina matangazo???Hat
Haters
Hahaha No ukwaju haipoKuna jezi, au kuna ubao wa matangazo.....
Mo chungwa
Mo cola
Mo tambi
Mo exra
Mo bungo
Hadi unajiuliza hivi hii ni jezi au ni supermaket
Biashara ni matangazo.Jezi haina matangazo???
Yamezidi inakua kama ubao wa ofisi ya afisa mtendajiBiashara ni matangazo.